Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba,
Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili. Maana katika kila jambo katika dunia lina hasara na faida yake,.
Je, kama kunaweza kuwa na hasara hasara zake ni zipi katika taifa?
Na kama kuna faida je faida zake hasa mno ni zipi kwenye taifa?
Pia kwa upande wao kuna faida zipi hasa na kuna hasara gani?
Maana coment nyingi za kwenye mitandao wanaandika kimihemko tu sijaona mtu akitoa maelezo ya kiundani juu ya faida na hasara.
Asante