Naomba ufafanuzi juu ya hawa wahamiaji (4) waliiomba uraia

Naomba ufafanuzi juu ya hawa wahamiaji (4) waliiomba uraia

Jf bwana, unaniletea mazarau humu usikute mimi ndie nakulipa hiyo ela ya bando na hatujuani.
Hahahah
Sawa mkuu samahani lakini
20250123_150021.jpg
 
Kama uhamiaji wamefuata utaratibu na sheria inaruhusu kelele za Nini sasa? Watanzania mnachosha sana mjue... Alaa
 
Kama uhamiaji wamefuata utaratibu na sheria inaruhusu kelele za Nini sasa? Watanzania mnachosha sana mjue... Alaa
Wee jamaa hivi umenielewa kweli?
Yaani nauliza hivi je uhamiaji wao utakuwa na tija na fursa katika taifa letu? Au ndio mwenyewe nyumba kafa bila mrithi walala nje wagombana mlangoni.?
 
Back
Top Bottom