Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ndugu mimi sikwenda shule. Wewe uliyeenda shule imetosha kuiendesha hii nchi.Nimeishia kusoma tu heading. Sijui shuleni mlienda kusomea nini ikiwa neno dogo tu kama uraia unaandika ulaia? Bado tuna safari ndefu sana
Ndugu mimi sikwenda shule. Wewe uliyeenda shule imetosha kuiendesha hii nchi.laiya 😅🙌🏼
DahInabidi iwe u laiya na Maadiri 😛
Sawa nimeelewa mkuura re ri ro ru
Uraia ✅
Ulaia ❌
Waache si wanang'anga'ania kayumba praimariInabidi iwe u laiya na Maadiri 😛
Eli wewe 😅😅🙌🏼Waache si wanang'anga'ania kayumba praimari
We nyumbu pambana na maisha yako, upewe ufafanuzi na nani ukiwa km nani. Jitambue kijanaNi mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba,
Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili. Maana katika kila jambo katika dunia lina hasara na faida yake,.
Je, kama kunaweza kuwa na hasara hasara zake ni zipi katika taifa?
Na kama kuna faida je faida zake hasa mno ni zipi kwenye taifa?
Pia kwa upande wao kuna faida zipi hasa na kuna hasara gani?
Maana coment nyingi za kwenye mitandao wanaandika kimihemko tu sijaona mtu akitoa maelezo ya kiundani juu ya faida na hasara.
Asante
Eli wewe 😅😅🙌🏼
Eli wewe 😅😅🙌🏼
Sawa kijana unayejitambua, mimi mwenzio namiliki magari na ng'ombe kama wewe wa maziwaWe nyumbu pambana na maisha yako, upewe ufafanuzi na nani ukiwa km nani. Jitambue kijana
Usiwalaumu sana usikute usomi wao umeishia hapo. Na sio kwenye hitaji langu.Sisi WaAfrica ni wapumbavu sana...Mtu ameuliza jambo la msingi badala ya kumjibu apate kuelewa mnaona kuhangaika na kusahihisha uandishi wa maneno yake ndo jambo la msingi.....Stupid monkeys
Amini kuwa hawajui majibu kwasasa wako na mihemko ya kisokaKwahio hii mutu imeurisa swali ya kipuusi, maana naona watu inaleta utani badala ya kujibu, au na yenyewe haijui?
Tulia weweSawa kijana unayejitambua, mimi mwenzio namiliki magari na ng'ombe kama wewe wa maziwa