Naomba ufafanuzi juu ya hawa wahamiaji (4) waliiomba uraia

Kama uhamiaji wamefuata utaratibu na sheria inaruhusu kelele za Nini sasa? Watanzania mnachosha sana mjue... Alaa
 
Kama uhamiaji wamefuata utaratibu na sheria inaruhusu kelele za Nini sasa? Watanzania mnachosha sana mjue... Alaa
Wee jamaa hivi umenielewa kweli?
Yaani nauliza hivi je uhamiaji wao utakuwa na tija na fursa katika taifa letu? Au ndio mwenyewe nyumba kafa bila mrithi walala nje wagombana mlangoni.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…