Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaze kweli mimba imeshika kwa mara ya 1 kwel na kameza p2 then akafanya iyo sex ya pili. Je mimba itakuwa ya nani?Kwanza naomba kujua hii kazi ya ukahaba kwa huyu mwanamke ataacha lini.?
Mimba ya yule ambaye mbegu zake zimepokelewa.
Yawezekana ile mara ya kwanza haikuwa siku hatari ya kupata mimba hivyo bila hata hiyo P2 mzigo usingeingia and vice versa is true
Maraya ni maraya siku zote😀😀😀Kwanza naomba kujua hii kazi ya ukahaba kwa huyu mwanamke ataacha lini.?
Mimba ya yule ambaye mbegu zake zimepokelewa.
Yawezekana ile mara ya kwanza haikuwa siku hatari ya kupata mimba hivyo bila hata hiyo P2 mzigo usingeingia and vice versa is true
Unauliza ukiwa rafiki wa huyo mwanamke au ndio unajiulizia?Naomba kuuliza:-
1. Hivi mwanamke akifanya sex na mwanaume 1 leo na akameza p2 then kesho kutwa ake akafanya tena sex na mwanaume wa 2 Ikatokea akawa na mimba je iyo mimba inakuwa ya mara ya 1 au mara 2?
Rafiki wa uyu msichana na sio mwanamke bado mschanaUnauliza ukiwa rafiki wa huyo mwanamke au ndio unajiulizia?
Kabisa mkuu condom ni salama zaidi. Kama mwanamke unaweza kukutana na wanaume wawili tofauti huo ni umalaya, tena unafanya nao kavu, huku ni kubebeshana magonjwa.Nenda kituo cha afya utapewa ushauri mzr tena sku izi ni buree kushauriwa
Ila pia mshauri uyo dada atumie kondom ni salama zaid kulko p2
Kumbuka pia, P2 haifanyi kazi unapokuwa umeshaanza ovulationNaomba kuuliza:-
1. Hivi mwanamke akifanya sex na mwanaume 1 leo na akameza p2 then kesho kutwa ake akafanya tena sex na mwanaume wa 2 Ikatokea akawa na mimba je iyo mimba inakuwa ya mara ya 1 au mara 2?
Kazi kubwa ya p2 ni hii ...Kumbuka pia, P2 haifanyi kazi unapokuwa umeshaanza ovulation
Heshima Yako mkuuTACAIDS kazi wanayo
Hatimaye nmepata jibu kamiliMnakera sana kwa tabia za umalaya.
P2 ukiimeza kabla ya yai kushuka inafanya yai lisishuke kwa siku kadhaa, mpaka likija kushuka basi mbegu zimeshakufa tayari.
Siku likishuka, baada ya kucheleweshwa na p2, na ukafanya mapenz tena ndani ya mwezi huohuo, let say wiki lijalo after sex iliyopita, Possible unapata mimba 100%.
Omba umeze p2 ukiwa na uhakika upo ktk ile danger, yaani Yai limeshashuka tayari kwani ukimeza hapo p2 itafanya yai lisijikite kwenye kuta za uzazi ili kurutubishwa mimba ianze kukua.
Ukishameza p2, usifanye ngono isiyo salama tena, tafuta condom fanya. Achana na masuala ya kumwagia nje, futa hii kitu kabisa. Tumia condom kwa usalama zaidi.