Hedaru2022
Member
- Mar 26, 2022
- 10
- 15
Naomba ufafanuzi kuhusu sifa
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali
Mimi nina Shahada ya Uhasibu ( BAF) lakini imeniambia Application FAILED