Hedaru2022
Member
- Mar 26, 2022
- 10
- 15
Naomba ufafanuzi kuhusu sifa
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali
Mimi nina Shahada ya Uhasibu ( BAF) lakini imeniambia Application FAILED
SureShida ni hiyo accounts and finance,yani kuongezeka neno finance,system ya ajira portal iliyosetiwa na vilaza inaona unetoka nje ya degree ya accounts
Piga simu watarekebishaNaomba ufafanuzi kuhusu sifa
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali
Mimi nina Shahada ya Uhasibu ( BAF) lakini imeniambia Application FAILED
Wamerekebisha now vijana wa BAF wanatelezaSure
Wamesharekebisha mzee never doubt BAF kwenye issue za Account, Auditing,Finance na Taxation Hawa watu Ni wakali wa hzi mamboNaomba ufafanuzi kuhusu sifa