Naomba ufafanuzi kuhusu ajali za ndege

Naomba ufafanuzi kuhusu ajali za ndege

gubwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
299
Reaction score
132
Wadau wenye utaalamu na masuara ya Aviation naombeni mnisaidie hapa.

Je, pale inapotokea hitilafu na ndege ipo angani na same time kwamba may be Pilot anajua kwamba hii inaenda kutokea ajali.

Je, huwa wanawataarifu abiria au hua wanaongea maneno yapi kabla ya ajali? mwenye uelewa please.
 
Kuna black box hua ina record sauti ya engine pamoja na mawasiliano ya rubani

Sent using Jamii Forums mobile app
Emergency landing ndiyo rubani ataawambia wahudumu ili wahudumu waandae abiri kwa emergency landing.
Ila ukiona vifaa vya oxygen vimekushukia automatically, na wahudumu wanapishana bila mpango...jiandae kurest in peace.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emergency landing ndiyo rubani ataawambia wahudumu ili wahudumu waandae abiri kwa emergency landing....
Ila ukiona vifaa vya oxygen vimekushukia automatically, na wahudumu wanapishana bila mpango...jiandae kurest in peace.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwahi kushuudia!!? Ila nimecheka sana
 
Uliwahi kushuudia!!? Ila nimecheka sana
Ukweli ni kwamba nimewahi kusafiri na ndege umbali mrefu tu over 16 hrs on air...namshukuru Mungu hiyo hali haikutokea..

Ila ndege ikileta hitilafu ambayo haiwezi kutatulika wala haiwezi kutua kwa emergency, rubani hawaambii kwamba mnaenda kufa...wahudumu wao wanajua...watajitahidi kuhakikisha mnakaa kwa kutulia na wakiwapatia vifaa vya oxygen kwa wale ambao watakuwa hawajavivaa huku wakiwa wanapishana pishana bila mpangilio....
Basi kwa hali hiyo jiandae kupumzika usingizi wa milele....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...kwa maana hamna namna nyingine..
Ila kama ni hitilafu ndogo rubani atawatangazi kuwa kuna dharura na mnaenda kutua juu ya maji au kiwanja kilichopo karibu...ukisikia hivyo mshukuru Mungu kuwa bado utaendelea kula raha za dunia...[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boeing 747, Acha uongo rubani hawezi sema mnaenda kufa labda kama unatania, nenda youtube search last words said by pilots before crash utagundua huwa eanahangaika kuokoa ndege mda wote mpaka ndege inaanguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo rubani hawezi sema mnaenda kufa labda kama unatania, nenda youtube search last words said by pilots before crash utagundua huwa eanahangaika kuokoa ndege mda wote mpaka ndege inaanguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema rubani anawaambia watu wanaenda kufa.....
It was just typing error...HAWAAMBIA nikimaanisha HAWAAMBII watu...

Ungeisoma post yangu WISELY ungeelewa tu kuwa nilikosea herufi...

Happy new year..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wenye utaalamu na masuara ya Aviation naombeni mnisaidie hapa

Je pale inapotokea hitilafu na ndege ipo angani na same time kwamba may be Pilot anajua kwamba hii inaenda kutokea ajali.

Je hua wanawataarifu abiria au hua wanaongea maneno yapi kabla ya ajali? mwenye uelewa please.
Ndege inapopata hitilifu,ili pilot aweze walau kuinusuru lazima kuwe na mambo matatu, attitude,engine power na distance ya kutosha ili aweze kupata muda wakushughulika na pia kuwataarifu abiria. Kimsingi atawaeleza hali halisi ya kinachotokea na anachotarajia kufanya na nyie anataka mfanye nini labda,kama vile utulivu,kufunga mikanda, kuvaa oksijeni mask au kulaza kichwa mapajani..lakini mwishoni lazima atawaeleza kila mmoja kwa imani yake aombee hali ikawe sawa na sala zote utakazoona wewe.

Lakini ajali ndege za ndege huwa ni za ghafla kiasi pilot hana muda wa kuwaeleza chochote,huwa anajaribu kurekebisha hitilafu kwa mda huo mdogo alionao au anaweza asipate kbs muda wakuwaeleza abiria jambo lolote wala kufanya mawasiliano ya walio aridhini.

Ajali inapotokea,mara nyingi lazima utafiti wa kina ufanywe wakitegemea hasa 'black box'(FDR na CVR) ambazo hurekodi kila kitu kuhusiana na ndege,utafiti husaidia kujua chanzo cha ajali/hitilafu hivyo kuepusha tena ajali ya namna hiyo. All in all,ajali ya ndege inapotokea,ni miujiza watu kupona.

Imeisha tokea mara nyingi,black box imeharibika kabisa au kupotea hapo kazi ya utafiti huwa kubwa na ngumu zaidi wakitegemea kutafiti mabaki,mawasiliano ya ardhini na mashuhuda nk. Kwa ufupi ni hayo ila bado mambo ya kufanya ni mengi sana.
 
Zaidi atawasiliana na Tower ya karibu kuomba arudi
Mayday Mayday


Sent using Jamii Forums mobile app
yeah,ni muito wa hali ya dharula kutoka kwa Pilot pale anapoona hali ya hatari ktk ndege na anahitaji msaada. Lakini mara nyingi hata huo muda hawaupati kutokana na janga lililopo,mfano ajali hizi mbili za air max,hapa kuwa na May day wala hii ya juzi iliyotokea Iran...."things do happen in a blink of an eye"
 
Tungepata wale waliopanda ile ndege ya Ethiopia iliyotua kwa dharura Arusha.
Tungejifunza mengi hasa hapo kwenye kupishana pishana bila mpangilio 😂
 
Kusema kweli usafiri wa ndege sio mzuri sema ndio hivyo tena lazima upande hasa kama unataka kwenda nchi za nje!
 
Kusema kweli usafiri wa ndege sio mzuri sema ndio hivyo tena lazima upande hasa kama unataka kwenda nchi za nje!
Kulingana na takwimu usafiri wa ndege ndo salama zaidi kuliko usafiri mwingine wowote.
Ingawa ukweli upo pale pale kuwa endapo ikitokea hitilafu yoyote uwezekano wa kurest in peace ni kama asilimia zote
 
Back
Top Bottom