Kihoronge
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 544
- 704
- Thread starter
- #21
Kiukweli ushauri mwingi ninausoma pia humu jamii forums. Maana nimesumbuka vya kutosha. Nikinywa chai ya rangi ni balaa kwangu mkuu,kiungulia itaniua. Hayo majibu ya choo ninayo pia. Ninaweaz kukutumia pm uyaone?Nyanya, husitumie, maziwa ni ya aina yote ndugu, najua utakuwa umeshauliwa na watu wengi kwamba maziwa yanasaidia kupunguza maumivu ni uongo yanasaidia kwa mda mfupi tu lakini yanaongeza uzalishaji wa acid. Unaweza kutumia mayai, karanga na vyakula ambavo havina amira
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app