Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

Nyanya, husitumie, maziwa ni ya aina yote ndugu, najua utakuwa umeshauliwa na watu wengi kwamba maziwa yanasaidia kupunguza maumivu ni uongo yanasaidia kwa mda mfupi tu lakini yanaongeza uzalishaji wa acid. Unaweza kutumia mayai, karanga na vyakula ambavo havina amira

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kiukweli ushauri mwingi ninausoma pia humu jamii forums. Maana nimesumbuka vya kutosha. Nikinywa chai ya rangi ni balaa kwangu mkuu,kiungulia itaniua. Hayo majibu ya choo ninayo pia. Ninaweaz kukutumia pm uyaone?
 
Nashukuru mkuu,kuna vitu ambavyo nimeacha kama ulivyotaja hapo juu. Lakini mchaichai na wali ni vitu nakula sana. Hasa mchaichai ninakunywa kila siku jioni kabla ya kulala. Asubuhi niliacha vitafunwa vyote vya ngano na kula vitumbua. Naona navyo umenikataza. Nikila magimbi ama mihogo navyo ni kiungulia balaa. Sasa nitumie kitafunwa gani? Suala la chakula limekuwa changamoto kwangu. Daktari mmoja alishauri nikafanyiwe kipimo cha kutumbukiziwa kamera tumboni,hospital niliyoenda waliniambia gharama yake ni 360,000/=. Nilishindwa kulipia hiyo gharama.
Hospital gani mkuu?
 
Back
Top Bottom