Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Tunashukuru sana kwa mchango wako mzuriMkuu hiyo gari nzuri kwa matumizi ya safari ndefu na mjini.Mafuta inatumia kawaida na inataka matunzo kama mtoto.
Kwa safari za porini iko vizuri ila haikupi uhakika ikisumbua kidogo unalala porini.
Kama umri umesogea chukua hii, ila kama ni kijana usichukue hiyo pesa tafuta Land Cruiser series 80.
YEs mkuu! Land Cruiser 80 series ni gari ya ndoto yangu hasa upate Manual Turbo Diesel ila sasa hazipatikani now days na hata ukiipata bei yake imechangamka kidogo compare to Discovery.Mkuu hiyo gari nzuri kwa matumizi ya safari ndefu na mjini.Mafuta inatumia kawaida na inataka matunzo kama mtoto.
Kwa safari za porini iko vizuri ila haikupi uhakika ikisumbua kidogo unalala porini.
Kama umri umesogea chukua hii, ila kama ni kijana usichukue hiyo pesa tafuta Land Cruiser series 80.
YEs mkuu! Land Cruiser 80 series ni gari ya ndoto yangu hasa upate Manual Turbo Diesel ila sasa hazipatikani now days na hata ukiipata bei yake imechangamka kidogo compare to Discovery.
Land Cruiser 80 or even 60 Series Ilikua chaguo langu ila kuzipata kwa bei hiyo ni nadra sana
Duh! Nyingi za Petrol ni V8 hapo ndio tatizoKupata landcruiser sio mchezo hasa kwa bei hiyo. Ila hiyo Discovery sio mbaya lakini inataka matunzo na service nzuri (kwa hiyo engine TD5). Za petrol ni nzuri zaidi ila zinakula mafuta sana. Kama unatafuta gari ya porini unaweza kuifikiria hiyo ika wenye uzoefu nazo watasema zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu! Itabidi nijipange tena nitafute Land Cruiser hasa 60 series or 80 maana hizo ndio gari pekee za uhakika wa safari ukitoa LC hard top na Nissan SafariTd5 kuipeleka porini inabidi uwe unaenda nayo kistaarabu, hiyo haitaki shurba.
Kama safari zako ni za porini sana na njia mbovu inabidi uje uvue hiyo injini uweke TD200(mzee wa porini) ingawa ni ya kizamani na ina unguruma vibaya.
Mkuu kwa dau lako hilo la dola 13,000 za Mmarekani amini nakwambia unapata Land Cruiser series 80 kutoka South Africa na inalipiwa vibali vyote ila kwa engine ya 1hz iliyotembea sana na ipo katika hali nzuri.YEs mkuu! Land Cruiser 80 series ni gari ya ndoto yangu hasa upate Manual Turbo Diesel ila sasa hazipatikani now days na hata ukiipata bei yake imechangamka kidogo compare to Discovery.
Land Cruiser 80 or even 60 Series Ilikua chaguo langu ila kuzipata kwa bei hiyo ni nadra sana
Series 60 achana nayo sogea kwenye series 70.Sawa mkuu! Itabidi nijipange tena nitafute Land Cruiser hasa 60 series or 80 maana hizo ndio gari pekee za uhakika wa safari.
ISeries 60 achana nayo sogea kwenye series 70.
Kwa dau lako ukitafuta zinazotoka Malawi unapata na pesa inabaki.
60 series ukipata yenye good condition sio mbaya sana! Hasa upate Turbo Diesel. 70 series zina bei sana alafu nyingi hazina Turbo. I prefer 80 series zenye Turbo. Hizo unaweza kupata South Africa kweli?!Series 60 achana nayo sogea kwenye series 70.
Kwa dau lako ukitafuta zinazotoka Malawi unapata na pesa inabaki.
Ni gari imara na nzuri hasa upate 105 Series ila tatizo hazina mwendo hasa on road
Mkuu hiyo gari nzuri kwa matumizi ya safari ndefu na mjini.Mafuta inatumia kawaida na inataka matunzo kama mtoto.
Kwa safari za porini iko vizuri ila haikupi uhakika ikisumbua kidogo unalala porini.
Kama umri umesogea chukua hii, ila kama ni kijana usichukue hiyo pesa tafuta Land Cruiser series 80.
Kama Iko kwenye hali nzuri ichukue mkuu! Sio gari ya kuuliza mara mbili.Nafikiria kuchukua Patrol Y60 Td42 manual,kuna mwana analiuza bei ya kawaida sana,nataka nilifungie trailer ya 2 tonnes kwa ajili ya kuingia nayo kwny mishe mishe mkuu.
Hio machine unaionaje?
Nafikiria kuchukua Patrol Y60 Td42 manual,kuna mwana analiuza bei ya kawaida sana,nataka nilifungie trailer ya 2 tonnes kwa ajili ya kuingia nayo kwny mishe mishe mkuu.
Hio machine unaionaje?
Hiyo chukua mkuu, kama ni jamaa yako muulize kama amewahi gusa injini au kuichezea fuel injector pump.Nafikiria kuchukua Patrol Y60 Td42 manual,kuna mwana analiuza bei ya kawaida sana,nataka nilifungie trailer ya 2 tonnes kwa ajili ya kuingia nayo kwny mishe mishe mkuu.
Hio machine unaionaje?
Thnxs mkuu,ngoja nilifanyie makeke nina ka project huko porini nahitaji gari ya kazi na pia nitaitumia onroad pia kwa sana.Kama Iko kwenye hali nzuri ichukue mkuu! Sio gari ya kuuliza mara mbili.