mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nashukuru mkuu nitafanya hivyo.Ukiipata iko vizuri chukua, gari imara sana kuanzia body mpaka engine
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu nitafanya hivyo.Ukiipata iko vizuri chukua, gari imara sana kuanzia body mpaka engine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuuliza mkuu akasema hapana,ni gari ambalo lilikua linatumiwa kwa shughuli za town kwa sana,mikiki mikiki halijapigishwa kiviile.Hiyo chukua mkuu, kama ni jamaa yako muulize kama amewahi gusa injini au kuichezea fuel injector pump.
Hiyo ni gari ya uhakika kwa safari yoyote na unavuta tela vizuri.
Best commentKwa matumizi na porini Discovery 2 ni nzuri zaidi kuliko Discovery 3 &4 hasa ukiipata ya Diesel..ulaji wa mafuta ni mdogo..Ingine ina nguvu..speed 220km
Iko juu kiasi kwamba kwa porini si rahisi ku buruza chini ..Ni Gari imekaa kikazi na ya kiume. Hutajutia uamuzi wako..kuhusu spares..mara nyingi si magari ya kuharibikaharibika ovyo ila kama zilivyo landrover zingine spares zake ni kwa dealers au maduka maalumu na ni original spares zitakazokupa life span ya landrover yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo chukua MkuuNimemuuliza mkuu akasema hapana,ni gari ambalo lilikua linatumiwa kwa shughuli za town kwa sana,mikiki mikiki halijapigishwa kiviile.
Niko nayo na sijaona hilo tatizoNi kweli imekaa kiume hasa upata standard stick shift ila sasa uimara wake ndio tatizo hasa engine yake TD5 kumbe kimeo kama wadau walivyoelezea hapo juu.
Unazungumzia gari gani kiongozi?Sijui wamanisha nini ila lina pulling kubwa na top speed ya 220km
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekua nayo kwa muda gani?!
Ungeelezea kwa undani sababu ya kusema hayo, ungemsaidia mleta mada na wengine pia.Ndugu yangu nakushahuri usiingie chaka ukanunua gari yeyote ya mataifa mengine tofauti na Japani utajuta tena landrover ndo sio gari kabisa ni matatizo utaumwa mimi nishaendesha zote kuanzia 109, 110, range mpaka ya 2016 ingawa sio zangu ila japani kwa uimara wa gari ni kiboko, tena hzo discover ndio matatizo matupu kaka nunua hata landcruser yenye kilometa lakitatu kuliko discover ya kilometa zero,utanishukuru baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Discovery 4 ni luxury SUV. Sio gari ambayo unaweza kuingia nayo porini ukatoka salama.Kwa nyongeza, kuna uzi wake hapa ; Land Rover Discovery 4 - Mega thread - JamiiForums
Sorry it was Landrover DiscoveryUnazungumzia gari gani kiongozi?
Okay bro, tuendelee kujifunza!Discovery 4 ni luxury SUV. Sio gari ambayo unaweza kuingia nayo porini ukatoka salama.
Ndio maana nikafikiria Discovery 2 japo wadau hapa wanasema nayo ni sio reliable kivile.
Anyway thanks mkuu
Nissan Patrol ama Safari ni gari imara hasa upate TD42 engine. Ila sasa bei zake zimechangamka kidogo labda ubahatishe mtu anashida zake umvue fastaKwanini usiwaze Nissan, mi sio mtaalam sana ila pia nissan nazionaga poa sana kwa pori works
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata landcruiser sio mchezo hasa kwa bei hiyo. Ila hiyo Discovery sio mbaya lakini inataka matunzo na service nzuri (kwa hiyo engine TD5). Za petrol ni nzuri zaidi ila zinakula mafuta sana. Kama unatafuta gari ya porini unaweza kuifikiria hiyo ika wenye uzoefu nazo watasema zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app