Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hizo!! ile model mapaja kuja defender za mwanzo zote zilikuwa zinafanana matatizo, hub excel, leakage na gearbox,Unazungumzia 109 aka Mandolini.
Unaeza hata ukaanza na hilux zenye engine ya 1kz, zinkuwaga cheap sokoni,, zina nguvu nzuri , ila ni heavy kwenye diesel kama wewe ni heavy footed.Yeah hizi ni gari hasa sema Hilux D4D bei yake imechangamka sana.
Ni gari bomba sana sema ndio hivyo tena spana mkononi. I real like this car.
Hiyo ni gari matata, ukiwa na masafa marefu utaifurahia, huwa ukipiga spidi kali inachutama.Mwaka 2016 kuna jamaa alinipa Nissan Patrol yake nimsaidie kutafuta wateja. Nilikaa nayo for one month kabla ya kuuza. Aisee Nissan Patrol ni gari hasa na utaifurahia zaidi ukipita off road.
Hio chuma ni respect mkuu lazma nije kuinunua ikae garage kwangu kama classic ride for the Love of Land Cruisers!YEs mkuu! Land Cruiser 80 series ni gari ya ndoto yangu hasa upate Manual Turbo Diesel ila sasa hazipatikani now days na hata ukiipata bei yake imechangamka kidogo compare to Discovery.
Land Cruiser 80 or even 60 Series Ilikua chaguo langu ila kuzipata kwa bei hiyo ni nadra sana
yap engine yake ipo very sensitive.gari ikivujisha oil au diesel kidogo inakataa kuwakaNi gari bomba sana sema ndio hivyo tena spana mkononi. I real like this car.
Mpaka leo najuta kwanini nilimuuzia yule jamaa.Hiyo ni gari matata, ukiwa na masafa marefu utaifurahia, huwa ukipiga spidi kali inachutama.
Naipenda sana, nafikiria kuisaka upya
Magari ya mzungu yana macomplication kibao mpaka wanaharibu. Napenda engineering ya Mjapan kwa sababu Iko simple and reliable.yap engine yake ipo very sensitive.gari ikivujisha oil au diesel kidogo inakataa kuwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitulia freshi manual unaipata mbona mkuu. Achana na hii mashine aiseeHii ni moja kati ya series bora zaidi za Land Cruiser. Navizia Japan huwa zinatoka mara chache sana hasa be forward ama trade car view.
Shida nyingi zinakua Auto transmission kitu ambacho siwezi. Kwa gari kubwa kama hizi hasa Diesel napenda Manual gear.
Ni nzuri sana kwa Safari ndefu
Nafikiria kuchukua Patrol Y60 Td42 manual,kuna mwana analiuza bei ya kawaida sana,nataka nilifungie trailer ya 2 tonnes kwa ajili ya kuingia nayo kwny mishe mishe mkuu.
Hio machine unaionaje?
I can dance to this tune all day long...This is what made me fall in love with 80 series Japanese masterpiece!Magari ya mzungu yana macomplication kibao mpaka wanaharibu. Napenda engineering ya Mjapan kwa sababu Iko simple and reliable.
Navizia nipate kama ya dola 8000 huwa zinatoka japo mara chache sana. Ni za kubahatishaUkitulia freshi manual unaipata mbona mkuu. Achana na hii mashine aisee
View attachment 1419067
Ndugu yangu nakushahuri usiingie chaka ukanunua gari yeyote ya mataifa mengine tofauti na Japani utajuta tena landrover ndo sio gari kabisa ni matatizo utaumwa mimi nishaendesha zote kuanzia 109, 110, range mpaka ya 2016 ingawa sio zangu ila japani kwa uimara wa gari ni kiboko, tena hzo discover ndio matatizo matupu kaka nunua hata landcruser yenye kilometa lakitatu kuliko discover ya kilometa zero,utanishukuru baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
yap magari yake hayanaga complicationsMagari ya mzungu yana macomplication kibao mpaka wanaharibu. Napenda engineering ya Mjapan kwa sababu Iko simple and reliable.
range rover zina shida gani?Ndugu yangu nakushahuri usiingie chaka ukanunua gari yeyote ya mataifa mengine tofauti na Japani utajuta tena landrover ndo sio gari kabisa ni matatizo utaumwa mimi nishaendesha zote kuanzia 109, 110, range mpaka ya 2016 ingawa sio zangu ila japani kwa uimara wa gari ni kiboko, tena hzo discover ndio matatizo matupu kaka nunua hata landcruser yenye kilometa lakitatu kuliko discover ya kilometa zero,utanishukuru baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app