Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Naam hii ni njia bora ubaki na body ya gari uipendayo na uweke injini bora.
Moja ya gari yangu ni Pajero mitsubishi (intercooler) na nimeweka injini mpya ya 5L, ninachanja popote, sijui pori wala tope ninachanja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya gari yangu ni Pajero mitsubishi (intercooler) na nimeweka injini mpya ya 5L, ninachanja popote, sijui pori wala tope ninachanja tu
Td5 kuipeleka porini inabidi uwe unaenda nayo kistaarabu, hiyo haitaki shurba.
Kama safari zako ni za porini sana na njia mbovu inabidi uje uvue hiyo injini uweke TD200(mzee wa porini) ingawa ni ya kizamani na ina unguruma vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app