Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mie za Turbo sizitaki kabisa kabisa. Sizipendi kabisa, yani hata unipe bure, utakuta nimeliuza au nimeligawa . Na ndicho nisichozipendea sana Subaru, maana subaru kibao ni ka turboGari zuri ni naturally aspirated engines. Kitu iwe stock halafu itembee😁 Holy Man
Turbo ina shida gani mkuu?Huwa zikimbia hizi gari kweli.. kinachofanya pia nisizipende sana hizi gari mengi yao yana turbo. Na mie na gari inayotumia turbo hatupatani kabisa.. sizipendi
Mie za Turbo sizitaki kabisa kabisa. Sizipendi kabisa, yani hata unipe bure, utakuta nimeliuza au nimeligawa . Na ndicho nisichozipendea sana Subaru, maana subaru kibao ni ka turbo
Ok sawa upo sahihi kabisa Mkuu naziona hata hizi foresta xt 2.5 nyingi hazina turbo wanaambiwa zenye turbo zinakula sana mafuta sihazifanyia tatifi ya kutosha kuhusu hilo ...Subaru nyingi sio Turbo. Hata kiwandani zinatengenezwa nyingi ambazo ni naturally aspirated engines kuliko zenye turbo. Kwa hiyo Legacy zisizo na turbo zipo kibao tu. Ila kwa faida ya mtoa uzi labda ungesema kwa nini hupendi turbo.
Na ndio uchumi wa kati wenyewe huoHiyo kitaalaam tunaita umepanda kiuchum si ndiyo kaka sasa we angalia nunua hiyo subaru nashaur vitz usiiuze itakuja kukusaidia ukikwama service ya subaruuu
Mkuu vipi kuhusu hiyo Pick up ya Mercedes Benz X Class. Huko kwa Madiba zinafanya vizuri, maana Tanzania hazioneka tatizo itakuwa Bei maana hazijaonekana hata kea serikali wala taasisi binafsi.Bongo bhana Subaru tuu legacy anashauliwa sijui mafuta sijui service aisee namshukuru Mungu kwa kuyajua magari na kutouliza uliza humu mtu ukimuuliza hiyo Mercedes Benz toleo jipya pick up utapata mawazo ya mafuta sijui parts daah,Mkuu nunua legacy gari ina mapumziko na pia usalama kwenye protection ya ajali hiyo ina chuma kigumu kidogo...
subaru nyingi siyo turbo mkuu rejea tena vyanzo vyako vya habariMie za Turbo sizitaki kabisa kabisa. Sizipendi kabisa, yani hata unipe bure, utakuta nimeliuza au nimeligawa . Na ndicho nisichozipendea sana Subaru, maana subaru kibao ni ka turbo
Mkuu hapa tuu hazionekani Tanzania zimeletwa tatu na aliezileta anajulikana hilo ni gari achana nayo mzee bei yake imesimama kuliko maelezo....Mkuu vipi kuhusu hiyo Pick up ya Mercedes Benz X Class. Huko kwa Madiba zinafanya vizuri, maana Tanzania hazioneka tatizo itakuwa Bei maana hazijaonekana hata kea serikali wala taasisi binafsi.
Tofauti na VW Amarok watu walianza nazo mapema.
Hizo ni unique Sana mkuu, Mimi niliona moja imetoka kwenye maji inasubiri kwenda Congo.Mkuu hapa tuu hazionekani Tanzania zimeletwa tatu na aliezileta anajulikana hilo ni gari achana nayo mzee bei yake imesimama kuliko maelezo....
Tanzania sio bei kama wananunua VX wanasema milion 400 hiyo wanaweza sema mpaka apatikane mpiga mbiu maana Tanzania wengi wananunua gari mpaka waione kws fulani sio kwamba kichwa kikubakiane na unachokiona ile mashine ni gari aisee tuombe uzima kwa kweli...Hizo ni unique Sana mkuu, Mimi niliona moja imetoka kwenye maji inasubiri kwenda Congo.
Kama mashirika, ubalozi na serikali wameziogopa Bei yake basi zitakuwa adimu hata miaka 10 ijayo.
Nyingi ambazo nawakuta nazo watu naziona turbo. Na ndio sababu ya kuto zipenda.. ila sizipendi tu 🤨🤨subaru nyingi siyo turbo mkuu rejea tena vyanzo vyako vya habari
Inaweza isifike.Tanzania sio bei kama wananunua VX wanasema milion 400 hiyo wanaweza sema mpaka apatikane mpiga mbiu maana Tanzania wengi wananunua gari mpaka waione kws fulani sio kwamba kichwa kikubakiane na unachokiona ile mashine ni gari aisee tuombe uzima kwa kweli...
Ok sawa sawa Mkuu Kodi yake ni 50m sijahangaika kuiangalia sema kwa Nchi za Sadc ukiwa na certificate of origin ya hiyo gari Kodi inapungua na ununuzi hapa bei sio kubwa inaweza ikawa ya nusu ya hiyo uliyotaja hapo...Inaweza isifike.
Used ya 2019 UK unaweza pata kwa £45,000 = 150M.
Kodi ya TRA = 50M
Jumla 200M.
[emoji23]Bro Subaru itakusumbua spare zake gharama. Baki kwenye Toyota Mzee, Bora umiliki hata premio