Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Subaru Legacy

Mie za Turbo sizitaki kabisa kabisa. Sizipendi kabisa, yani hata unipe bure, utakuta nimeliuza au nimeligawa . Na ndicho nisichozipendea sana Subaru, maana subaru kibao ni ka turbo

Subaru nyingi sio Turbo. Hata kiwandani zinatengenezwa nyingi ambazo ni naturally aspirated engines kuliko zenye turbo. Kwa hiyo Legacy zisizo na turbo zipo kibao tu. Ila kwa faida ya mtoa uzi labda ungesema kwa nini hupendi turbo.
 
Bongo bhana Subaru tuu legacy anashauliwa sijui mafuta sijui service aisee namshukuru Mungu kwa kuyajua magari na kutouliza uliza humu mtu ukimuuliza hiyo Mercedes Benz toleo jipya pick up utapata mawazo ya mafuta sijui parts daah,Mkuu nunua legacy gari ina mapumziko na pia usalama kwenye protection ya ajali hiyo ina chuma kigumu kidogo...
 
Ok sawa upo sahihi kabisa Mkuu naziona hata hizi foresta xt 2.5 nyingi hazina turbo wanaambiwa zenye turbo zinakula sana mafuta sihazifanyia tatifi ya kutosha kuhusu hilo ...
 
Hiyo kitaalaam tunaita umepanda kiuchum si ndiyo kaka sasa we angalia nunua hiyo subaru nashaur vitz usiiuze itakuja kukusaidia ukikwama service ya subaruuu
Na ndio uchumi wa kati wenyewe huo
 
Bongo bhana Subaru tuu legacy anashauliwa sijui mafuta sijui service aisee namshukuru Mungu kwa kuyajua magari na kutouliza uliza humu mtu ukimuuliza hiyo Mercedes Benz toleo jipya pick up utapata mawazo ya mafuta sijui parts daah,Mkuu nunua legacy gari ina mapumziko na pia usalama kwenye protection ya ajali hiyo ina chuma kigumu kidogo...
Mkuu vipi kuhusu hiyo Pick up ya Mercedes Benz X Class. Huko kwa Madiba zinafanya vizuri, maana Tanzania hazioneka tatizo itakuwa Bei maana hazijaonekana hata kea serikali wala taasisi binafsi.
Tofauti na VW Amarok watu walianza nazo mapema.
 
Mie za Turbo sizitaki kabisa kabisa. Sizipendi kabisa, yani hata unipe bure, utakuta nimeliuza au nimeligawa . Na ndicho nisichozipendea sana Subaru, maana subaru kibao ni ka turbo
subaru nyingi siyo turbo mkuu rejea tena vyanzo vyako vya habari
 
Mkuu vipi kuhusu hiyo Pick up ya Mercedes Benz X Class. Huko kwa Madiba zinafanya vizuri, maana Tanzania hazioneka tatizo itakuwa Bei maana hazijaonekana hata kea serikali wala taasisi binafsi.
Tofauti na VW Amarok watu walianza nazo mapema.
Mkuu hapa tuu hazionekani Tanzania zimeletwa tatu na aliezileta anajulikana hilo ni gari achana nayo mzee bei yake imesimama kuliko maelezo....
 
Hizo ni unique Sana mkuu, Mimi niliona moja imetoka kwenye maji inasubiri kwenda Congo.
Kama mashirika, ubalozi na serikali wameziogopa Bei yake basi zitakuwa adimu hata miaka 10 ijayo.
 
Tanzania sio bei kama wananunua VX wanasema milion 400 hiyo wanaweza sema mpaka apatikane mpiga mbiu maana Tanzania wengi wananunua gari mpaka waione kws fulani sio kwamba kichwa kikubakiane na unachokiona ile mashine ni gari aisee tuombe uzima kwa kweli...
 
Inaweza isifike.

Used ya 2019 UK unaweza pata kwa £45,000 = 150M.

Kodi ya TRA = 50M

Jumla 200M.
 
Ok sawa sawa Mkuu Kodi yake ni 50m sijahangaika kuiangalia sema kwa Nchi za Sadc ukiwa na certificate of origin ya hiyo gari Kodi inapungua na ununuzi hapa bei sio kubwa inaweza ikawa ya nusu ya hiyo uliyotaja hapo...
 
Bro Subaru itakusumbua spare zake gharama. Baki kwenye Toyota Mzee, Bora umiliki hata premio
[emoji23]
Screenshot_20210401-204322_Instagram.jpg
 
Nunua na endesha gari utayoweza ihudumia...

Usipuuzie wanaokushauri uaghali wa spare/matunzo ya Subaru kwa sababu hawakudanganyi...hivyo hakikisha unajipanga kwenye hilo
 
Natumia Subaru legacy be 4 mwaka wa 4 sasa, shida kubwa ni gharama za spare na uchache wa mafundi, kama huna back up car ikiwa na shida huwez tengeneza haraka, so boda zitakuhusu! Otherwise ni gari nzuri na matumizi ya wese kawaida, mana kumbuka cc 1990 tu, huwez compare hata na mark x au Teza kwenye ulaji wa mafuta iko down
 
Back
Top Bottom