Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mie za Turbo sizitaki kabisa kabisa. Sizipendi kabisa, yani hata unipe bure, utakuta nimeliuza au nimeligawa . Na ndicho nisichozipendea sana Subaru, maana subaru kibao ni ka turboGari zuri ni naturally aspirated engines. Kitu iwe stock halafu itembeeš Holy Man