Naomba ufafanuzi kuhusu kazi za vituo vya kuuza mafuta

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
474
Reaction score
622
Habari za leo wakuu,

Ninahitaji kujua kuhusu utaratibu wa kupata kazi katika sheli za mafuta nikimaanisha kuuza mafuta. Ikiwezekana niambie kuhusu utaratibu wa kuomba kazi, vigezo, mshahara n.k

Nina elimu ya kidato cha nne na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, napatikana Dodoma.

Natanguliza shukrani🙏
 
Hakunaga vigezo kwenye kazi ya Sheli zaidi ya kujuana na watu tu.
Au kama una ndugu yako anamiliki sheli anamuomba anakupachika tu wala hatokuomba vyeti vyako.
Mimi nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kama Branch/Sales Manager na hajawahi kusomea biashara hata siku moja yeye alisoma Sayansi.

Natanguliza shukrani[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu,na vipi kuhusu mishahara yao
 
hizo inabidi uwe na connection tu,kuna jamaa angu nilimtoa huko Bush nikamtafutia hiyo kazi hapa dar,alichokifanya sina hamu nae na sitaki tena hata kuwa mdhamini wa raia yeyote wa tanzania kwenye issue yoyote ile inayohusiana na mambo ya kazi hasa hizi kazi za kushika pesa za watu.
 
Kazi ya sheli ni nzuri kwa MTU mvumilivu asiye na tamaa ya maisha....inachangamoto ya kushika mahela mengi kwa siku unaweza kuuza hadi milioni 5-6,mshahara laki na nusu kwa mwezi,wengine kuna bonasi ukiuza kula Lita moja unapata sh 2,kwa hiyo ukiuza Lita 10000 inazidishwa Mara sh 2 ndio bonus yako unaongezewa kwenye mshahara,Ila kuna short KIla siku hazikwepeki hata kwa wazoefu.

Hiyo shoti inakuja kukatwa kwenye mshahara wako mwisho Wa mwezi...kila unapouza Lita zako unaandika na shoti yako unaandika kila siku ya kazi mwisho Wa mwezi wanajumlisha jumla ya Lita ulizouza wanazidisha Mara sh 2 ya bonus ya Kila Lita wanatoa kwa shoti zako zote za mwezi mzima..unapewa mshahara wako,ukipiga shoti nyingi ndio imekula kwako.

Ukijisahau ukafanya mistake yeyoyote kama kuweka petrol kwenye ndinga ya dizel wewe ndio utalipa unaelewana na mwenye gari,ukisahau kuchukua hela ukampa MTU wese LA bure unakatwa kwenye mshahara wako mwisho Wa mwezi hata iwe wese LA milioni unalipa.

Hii kazi kama sehemu ya magari mengi wanawake ndio hufaidika sana..maana unatakiwa uchangamke kuita magari ukizembea utauza laki,mwenzako milioni...madereva wengi wanawake kwa waume hasa madereva malori wanapenda kuhudumiwa na wanawake,mwanaume unaweza kuita wakawa wanakupita tu wanaenda kwa mademu.

Usione washika pampu pale sheli wanapendeza ukafikiri wanakula mshara mkubwa hapana mkuu....na kwa nini sheli nyingi wahudumu ni wanawake,kwa sababu pale kuna hela nyingi inaingia kwa siku hivyo wanawake ni dhaifu akipewa hiyo laki na nusu anaridhika na pembeni anadanga lake maisha yanakwenda Ila mwanaume SAA yeyote anapindua meza.

Kupata kazi ya sheli mpaka koneksheni uwe na mtu Wa karibu anaefanya kazi sheli au anayefahamiana kiukaribu zaidi na mameneja au wafanyakazi,hizo kazi ni kushikana mikono tu.

Hayo maelezo ya juu ni kwa mujibu Wa kituo kimoja mjini dar es salaam..sijui kampuni zingine zinautaratibu gani.

Usikate tamaa endelea kutafuta utapata.
 
Alifanya nini mkuu?
Kazi za sheli zinachangamoto kwa mtaka mambo kwa pupa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanaume kweli huwa hawachelewi kupindua meza.
Akiwaza mshahara mdogo huo huo alishe mke na watoto,huo huo nauli yake ya kwenda kazini,huo huo aonge mchepuko hapo ndipo akili ya kujiongeza inapomjia automatically.

100% correct

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
aliiba karibia 3m mkuu.jamaa hajaonekana hadi leo,mdhamini wake nilikuwa mimi, ikabidi nilipe.
usijilaumi mzee huwez jua labda jamaa kaenda kafungua biashara ya maana huko baada ya miaka kadhaa unashangaa jamaa anatinga home kwako bonge la ndinga. afu anakuajiri kwny biashara yake

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
aliiba karibia 3m mkuu.jamaa hajaonekana hadi leo,mdhamini wake nilikuwa mimi, ikabidi nilipe.
Pole sana mkuu,ukimfadhili binaadamu asiye muaminifu ndio matatizo...alikupa sifa mbaya sana ya kuto kuaminika tens.
 
Back
Top Bottom