Naomba ufafanuzi kuhusu kibali cha kujenga

Naomba ufafanuzi kuhusu kibali cha kujenga

Haya mambo yanachanganya sana ...watu wengi nawafahamu wamejenga bila kibali

Sasa sijui mtu uchague lipi[emoji848]
 
Porojo? Ajenge bila kibali tuje tumshike makalio kama ulivyoshikwa wewe wakati ule. Sawa bwana mdogo?
Labda km wewe afsa ardhi unaishi ndani ya ikulu njoo ubomoe...nimelipia hati ya urasimishaji ardhi huu mwaka wa nne hamjaja kupima halafu ndio ujifanye kukimbilia kubomoa ...utakuwa unaoza kiungo kimojakimoja Cha mwilini mwako mpk unakufa mbwa wewe
 
Huo ni utaratibu lazima ufuatwe. Kiwanja chako kimepimwa,kina hati mbona zoezi la kawaida hilo. Nenda manispaa kaombe kibali,tena walioweka zuio ndio watakusaidie. Usikaidi hilo zuio utajitafutia matatizo.
Upo sahihi. Amalizane na Manispaa kwa kupata kibali Cha ujenzi. Otherwise watamsumbua huko mbele.
 
Mkuu, mtu akijenga bila kibali atakumbwa na nini? Naomba ufafanuzi
Afuate mipango miji iliyopo. Vinginevyo ukisimamisha (sio dushelele) ukuta wa nyumba pamoja na kuezeka bila ruhusa, zinaweza kubomolewa. Fuata sheria zilizopo, fika ofisi husika.
 
Back
Top Bottom