Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Bsc in Range Management

Nakushauri ukifika chuo ubadili hiyo kozi
Mkuu unamaanixha nn unavyosema equivalent ndio wengi? Af mkuu vp hiyo kozi na education ukikompare for now days?
Mkuu hyo koz wanasoma equivalents ndio wengi na most of them ni employed ww kama ni form six liver trust me hapo u will be wastin ur tym kama umefaulu vyema omba kubadili coz
 
Mkuu unamaanixha nn unavyosema equivalent ndio wengi? Af mkuu vp hiyo kozi na education ukikompare for now days?
Mara mia na education mkuu... Equivalent ni wenye diploma ndugu na mostly wanaosoma na wenye diploma za mifugo au range yenyewe... Bora hata education ukiwa mjanja hutakufa njaa ila hyo range kwa ushauri wangu dont persue it...
 
Sawa mkuu nimekuelewa lakini nasikia ukichange coz mzigo wa loan unasumbua kuhamisha mkuu!
 
Back
Top Bottom