Mkuu acha kumpotosha huyu bwana mdogo, naona umechanganya kozi ambazo wanasoma watu wa equevalent wengi!
Kozi ambayo wanasoma watu wa equevalent pale sua tena waliotoka kazini ni kozi inaitwa BSC IN AGRICULTURE EXTENSION ila hiyo kozi ya BSC RANGE MANAGEMENT wanasoma watu wa wa form six tena wengi sana equivalent unaweza wakuta wako 10 kati ya wanafunzi 200!
Wewe kama unataka kubadili kozi kwa sababu hujaipenda kabadili ila siyo kwamba kigezo kiwe kwa sababu wanasoma watu wa equevalent, siyo kweli!! Ukitaka kuhakikisha mkuu PITIA majina ya waliochaguliwa hiyo kozi yako ya RANGE uone waliotokea diploma ni wangapi ndo utakuja kuniambia hapa! Walio na registration RM/D hao ni wa direct na walio na RM/E hao ni equevalent