Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Bsc in Range Management

Hiyo kozi ni nzuri sana. Nenda kasome. Ondoa mawazo ya kuajiriwa na serikali. Nchi hii wengi wameanza kufungua ranch. Huko ndo kwenye ajira yako. Lakini pia nchi hii ina ardhi kubwa sana. Ukimaliza tafuta vihela kidogo hata kwa kukopa then nunua ardhi kwa ajili ya kuanza kufuga kisasa hasa kunenepesha mifugo. Hitajuta.

Hiyo kozi itakupa fursa kubwa sana ya kujiajiri.

Kwa sasa hakuna kozi yenye uhakika wa kuajiriwa.
 
Mara mia na education mkuu... Equivalent ni wenye diploma ndugu na mostly wanaosoma na wenye diploma za mifugo au range yenyewe... Bora hata education ukiwa mjanja hutakufa njaa ila hyo range kwa ushauri wangu dont persue it...
Toa sababu
 
Labda Saniniu Laizer ampe ajira kwenye ranch zake 😂😂😂 ila kwa Meko atakunywa sana Spa leta bar😂
Huko ndo kwenue ajira. Na kujiajiri pia hasa kunenepesga mifugi. Kwa sasa hakuna kozi yenye uhakika wa kuajiriwa. Hiyo kozi itamlipa kama atatoka nje ya box kimawazo. Atakujankufuga kitaalamu katika eneo dogo hasa kunenepesha mifugo.
 
Kijana wangu ame pata hiyo kozi
Dah kama mwaka 2020 alikuwa anapata spana namna iyo vp mwaka huu huyo kijana asisome iyo kozi ingawa kwa ss kozi zote n ngumu kwenye ajira ila nyengine zina afadhali kwenye kujiajiri mwenyew
 
Ndio mkuu niliweka tu chaguo la tano nilijua hawatonichagua huko!
Mkuu hii kozi unaweza ukaiona ila ukaidharau sana....ni bonge moja la kozi kifursa za nchi za nje....Ukisoma SUA pale ukishamaliza pambania upate intern nchi za nje,, Denmark, polland, Norway, Germany n.k hakika hutojutia kwan ndio utakua mwanzo wa kuuaga umasikini..

Am talking from experience coz nina ndugu zangu wako huko sasa.
 
Kabisa zile intern zinawapa watu hela sana.
 
Dah kama mwaka 2020 alikuwa anapata spana namna iyo vp mwaka huu huyo kijana asisome iyo kozi ingawa kwa ss kozi zote n ngumu kwenye ajira ila nyengine zina afadhali kwenye kujiajiri mwenyew
Hivi mnaielewa hiyo kozi kweli au mnaropoka tu?
 
Mkuu hii kozi unaweza ukaiona ila ukaidharau sana....ni bonge moja la kozi kifursa za nchi za nje....Ukisoma SUA pale ukishamaliza pambania upate intern nchi za nje,, Denmark, polland, Norway, Germany n.k hakika hutojutia kwan ndio utakua mwanzo wa kuuaga umasikini..

Am talking from experience coz nina ndugu zangu wako huko sasa.
Asante mkuu, naona kuna watu wa hovyo wanaangalia jina la kozi wanaona kama haifai. Ina wigo mpana sana ukitaka kwenda masters na kozi zake ni zile hot cake kwa sasa hivi! Halafu uzuri sasa hivi imeingizwa kwenye ajira sawa na watu waliosoma animal science.
 
Jichanganye
 
Ndiyo hivyo mkuu, mimi naongelea kitu ninachokifahamu maana na mimi pia ni member wa chama cha wataalam wa nyanda za malisho Tanzania. Wengi humu ni hearsay!
Unachokuongea ni kwl kizuri ila changamoto iliyopo sasa ni competition kubwa ya wanafunzi ,tuvute picha ndogo mwanafunzi WA range akikosa intern nje ya nchi kazi bongo za malisho sehemu Gani ataajiriwa au atajiajiri miguu yote miwili.Inakuwa ni ngumu sana kwao
 
Mkuu ya kujiajiri inategemea na mtu mwenyewe. Sasa hivi kuna hamasa kubwa sana kufanya unenepeshaji wa ng'ombe kibiashara. Hiyo yote inamhusu mtu wa Range Management maana amekuwa amejifunza maswala ya business plan development, feed formulation, meat production from ruminant animals.
 
Sawa Unaona kwanza tunapoachana inategemea na mtu mwenyewe,Yaani yote uliyotataja yanahitaji hela na Watu sasa mtu kwao huko Sigimbi ndani ndani haya atayapatia wapi tofauti na KADA kama ualimu,kilimo n.k

Najaribu tu kukuonyesha changamoto ,ila naamini pia kutoboa ni kokote
 
Kama kwa kada kama Ualimu ni rahisi kujiajiri mbona kutwa kuchwa tunapambana na vijana mtaani wanalia ajira na degree zao za ualimu? Sina hakika kama kuna kada utaenda mikono mitupu useme utaweza kujiajiri!
 
Back
Top Bottom