Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Bora uchange na ulipie hyo hela kuliko umalize chuo kazi hupati,una mwambia mtu umesoma Range atakuelewa. Mleta mada akifika chuo abadilishe
[/QUOTE
Nayo Ni probability mkuu tena usinikumbushe pale SUA .
Sawa mkuu nimekuelewa lakini nasikia ukichange coz mzigo wa loan unasumbua kuhamisha mkuu!
Sikuwahi kuifikiria na nilijaza chaguo la mwisho kwaajili ya kufill space, datz y nimekuja hapa nipate mwanga about dis coz mkuu!
Sawa mkuu, shukrani
Ni chuo kimoja wala hata haitakusumbua sana mkuu ila hata kama utapata changamoto kuhamisha loan. Muhimu sana usisome hyo cozi.... Hyo coz ipo campus ya mazimbu so kama utaomba kuhamia coz za maini au educatiom kama ulivyosema kuhamisha mkop wont be a big deal... Kwani ulisoma combination ganiSawa mkuu nimekuelewa lakini nasikia ukichange coz mzigo wa loan unasumbua kuhamisha mkuu!
Kosa kubwa wanalofanya vijana wengi ni kujaza kwajili ya kukamilisha nafasi..that is your life, you should have filled it while conscious and serious...kuna rafiki yangu mmoja amechaguliwa EDUCATION udsm halafu anasema kusoma education sio ndoto yake..sasa nikamuuliza uliijaza ya nn akakosa jibu....some people are funny 😃Sikuwahi kuifikiria na nilijaza chaguo la mwisho kwaajili ya kufill space, datz y nimekuja hapa nipate mwanga about dis coz mkuu!
Uko serious kweli?Ndio mkuu niliweka tu chaguo la tano nilijua hawatonichagua huko!
course zingine bana,yani kuna mtu yuko busy anakaza msuli wee,akimaliza chuo anabaki kusema namuachia Mungu kazi ntapata tu.
Badili Sasa Hivi Usisubiri Kwenda Chuo ndio Ubadili ila wanasoma Wengi hata Ambao sio Equivalent Ambao ni Equivalent inaitwa ExtensionSikuwahi kuifikiria na nilijaza chaguo la mwisho kwaajili ya kufill space, datz y nimekuja hapa nipate mwanga about dis coz mkuu!
Bro Kubadili Ni Ngumu Bora Mara Kumi apambanie Kuapply upya sahv au aaply Chuo KingineKapambane ubadili hy course,ikishindikana acha utaomba upya mwakani....nange mngt, animal health sio nzuri sana kwa freshers.
Nabadilije sasa ivi mkuu?Badili Sasa Hivi Usisubiri Kwenda Chuo ndio Ubadili ila wanasoma Wengi hata Ambao sio Equivalent Ambao ni Equivalent inaitwa Extension
Kubadili coz sua ni process na inakuhitaji uwahi kwny week ya kwanza ya usajili.. na wanatoza sh. 50k... ila ushaur wangu kama ujaipenda iyo course ni bora uhailishe mwaka uapply tena mwakani...Nabadilije sasa ivi mkuu?
Mkuu acha kumpotosha huyu bwana mdogo, naona umechanganya kozi ambazo wanasoma watu wa equevalent wengi!Mkuu hyo koz wanasoma equivalents ndio wengi na most of them ni employed ww kama ni form six liver trust me hapo u will be wastin ur tym kama umefaulu vyema omba kubadili coz
Itabidi uwahi siku ya kwanza tu uwepo pale mazimbu tena itabidi ufike siku ya jpili ili jtatu usajiri ukianza uwahi kufanya na wakupe utaratibuNabadilije sasa ivi mkuu?
Nabadilije sasa ivi mkuu?
nashukuru sana kwa ushuri, ubarikiweMkuu acha kumpotosha huyu bwana mdogo, naona umechanganya kozi ambazo wanasoma watu wa equevalent wengi!
Kozi ambayo wanasoma watu wa equevalent pale sua tena waliotoka kazini ni kozi inaitwa BSC IN AGRICULTURE EXTENSION ila hiyo kozi ya BSC RANGE MANAGEMENT wanasoma watu wa wa form six tena wengi sana equivalent unaweza wakuta wako 10 kati ya wanafunzi 200!
Wewe kama unataka kubadili kozi kwa sababu hujaipenda kabadili ila siyo kwamba kigezo kiwe kwa sababu wanasoma watu wa equevalent, siyo kweli!! Ukitaka kuhakikisha mkuu PITIA majina ya waliochaguliwa hiyo kozi yako ya RANGE uone waliotokea diploma ni wangapi ndo utakuja kuniambia hapa! Walio na registration RM/D hao ni wa direct na walio na RM/E hao ni equevalent
duh long process but haina shida, nashukuru sanaKwa kuongezea itabidi uhangaike kutafuta watu wa kukufundisha masomo ambayo hukusoma kwa hiyo itabidi uwe na wadau wengi maana itakua uongo kwamba ukihamia ukamtafuta mtu mmoja akufundishe atakua anajua masomo yote kwa kina, hapo itakubidi uwe unachamgamana na watu vizuri na kuwapata watu wa kukufundisha masomo yote itakua changamoto maana na wao wanakua wanakimbizana na masomo plus assignment na test kwa hiyo jipange sana usifikirie kubadili kozi ni kitu cha mchezo pale sua.