Naomba ufafanuzi kuhusu Ku upgrade Gari kwa kuchongesha kwa mafundi mtaani

Naomba ufafanuzi kuhusu Ku upgrade Gari kwa kuchongesha kwa mafundi mtaani

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,092
Naulizia iko vipi kuchongesha gari yako na kuifanya na muonekano tofauti na ilivyo toka kiwandani.

Kwa mafundi wanaweza waka boresha muonekano wa gari kwa mbele tofauti na ilivyo asili ya gari usika.

Swali je haiwezi leta shida kwa gari kuwa na matatizo?

Je, Haiwezi leta shida katika sheria zetu na kuanza kusumbuliwa na matrafk na mapolisi?

Pia wanao fanya wana fanya kwa bei zipi kama wataalam wapo humu?

Kwakuwa nina X- trail yangu na itaji niifanye mpya na yatofauti wakubwaa.

Naleta kwenu kwa msaada.
 
Sio tttr tu, hao wanaofanya mods wako weng sana saiv, kuna hao TTTR, car max, upholstery co etc, na hao ni maarufu, bado wale ambao majina hayajakua sana, vile vile inategemea unataka kufanya mods gan
 
Yangu nimei-upgrade kwa style hio.

773030_MadeInNigeriaConvertible_jpg8b6f9fb4779e2c426965726e6503d0d1.jpg
 
Naulizia iko vipi kuchongesha gari yako na kuifanya na muonekano tofauti na ilivyo toka kiwandani.

Kwa mafundi wanaweza waka boresha muonekano wa gari kwa mbele tofauti na ilivyo asili ya gari usika.

Swali je haiwezi leta shida kwa gari kuwa na matatizo?...
nakushauri iache hivyo hivyo kwakua unapoenda kubadili muonekano wanachomelea mabati na chuma kisha wanaweka puti.hivyo wanaondoa bumper la plastick.puti baada ya muda flani huachia na kubanduka
 
Back
Top Bottom