Naomba ufafanuzi kuhusu Ku upgrade Gari kwa kuchongesha kwa mafundi mtaani

Naomba ufafanuzi kuhusu Ku upgrade Gari kwa kuchongesha kwa mafundi mtaani

shida ya hizi upgrades za kibongo nyingi baada ya muda mfupi huanza kuchoka vibaya sana.....yaani utashangaa gari inatoka maalama ya rangi kupauka, kubanduka,sehemu kadhaa huanza kuachia hasa kwenye maungio.
 
Hvo
IMG-20200821-WA0020.jpg
 
shida ya hizi upgrades za kibongo nyingi baada ya muda mfupi huanza kuchoka vibaya sana.....yaani utashangaa gari inatoka maalama ya rangi kupauka, kubanduka,sehemu kadhaa huanza kuachia hasa kwenye maungio.
Rangi ndio huwa haikai yani puti lazma ibanduke na sehemu za maungio ndio majanga..
Halafu mafundi 90% hawaezi rudishia bampa bila kupigilia misumari yan ukiacha gari ukirudi misumari kila pahala bongo tunakwama wapi
 
Wenye v8 hata ya kifisadi hawaandiki comment za namna hiyo, huyo ni mpuuzi tu mmoja hana hata pikipiki ana stress tu...
Hii ndiyo Jamii forum mkuu...

Kila mtu ni CEO wa kampuni ya Gesi na Mafuta...
 
Back
Top Bottom