Naomba ufafanuzi kuhusu Ku upgrade Gari kwa kuchongesha kwa mafundi mtaani

Usiogope, hiyo gari yako unaweza ukafanya modifications zote kuanzia kubadili rangi, body na engine.

Ukipiga rangi au kuweka injini nyingine itabidi ukabadili taarifa kwenye kadi ya gari kuepusha usumbufu.

Endapo utaweka Carbon Fibre Bumpers hutakuwa haujaiathiri gari chochote. Hizo bumpers za mbele na nyuma zitabadili muonekano pia unaweza ukaweka roof ya fiber glass juu, ukabadili dashboard na kuongeza gauge mbalimbali.
 
Haina haja ya gereji kubwa hicho kitu hata mafundi wa kawaida wanafanya. Kila kitu ni imported kuanzia hizo carbon fiber bumper, spoilers na vitu vya car warping.
Mkuu nadhani unazungumzia hizi upgrade official ambazo hivi vitu vinatengenezwa huko kwa wenzetu then tunaagiza. Ila kuna ambazo naona wanatengeneza kibongo bongo kwa gari ambazo hazina hizi za kuagiza. Mfano nimeona facelift ya Harrier na Vanguard.
 
Vanguard una-upgrade kuwa kitu gani?. Dunia hii SI fair asseee
 
Ni kosa kisheria kuongeza manjonjo tofauti na vile alivyotengeneza manufacturers
Hapo Sheria inasemaje Bush lawyer?
 
Attachments

  • images (52).jpeg
    images (52).jpeg
    26 KB · Views: 21
Mkuu nadhani unazungumzia hizi upgrade official ambazo hivi vitu vinatengenezwa huko kwa wenzetu then tunaagiza. Ila kuna ambazo naona wanatengeneza kibongo bongo kwa gari ambazo hazina hizi za kuagiza. Mfano nimeona facelift ya Harrier na Vanguard.
Hizo za kibongo wengi wanatumia steel plate kuchonga bumper za mbele na nyuma hata kwenye gari ndogo.

Kwa gari ndogo haitakiwi kuongeza uzito, hizo zinafaa kwenye SUV kubwa kama L/Cruiser au N/Patrol. Hizo wanachonga kwa kuamini chuma ni imara na kinadumu.

Kwa sasa duniani wenzetu wanatumia Carbon Fiber ili kupunguza uzito na kufanya gari iwe nyepesi na hata ukilikunja halivunjiki.
 
Wabongo nuksi. Wanaongeza uzito badala ya kupunguza
 
Ni kosa kisheria kuongeza manjonjo tofauti na vile alivyotengeneza manufacturers
Mkuu naomba tusaidie makosa kisheria kwa Tanzania ya kuongeza vitu.

Ukibadili rangi au injini/body la gari lazima ukatoe taarifa TRA na kadi itabadilishwa ili usisumbuliwe na polisi.

Nchi za wenzetu watu wanabadili gari mpaka manufacturer anasahau kuwa ni product yake. Marekani hawataki Diesel engine tunning kwa ajili ya kupunguza uchafuzi wa hewa labda uwe na kibali, ila huko country watu wanatune engine za Ford,Chevy na zinatoa moshi kama jiko la kuni.
 
Jiko la kuni? Ha ha ha.
 
Ni kosa kisheria kuongeza manjonjo tofauti na vile alivyotengeneza manufacturers
Rangi na engine au chasis kwa mabasi ndo nadhani inabid kutoa taarifa TRA. Ila manjonjo mengine inaruhusiwa mfano zile landcruiser za watalii ambazo huwa wanaongeza urefu.

Mfano mwingine ni mabasi ya abiria unakuta gari body yake ni marcopolo g6 ila wanaibadilisha inakuwa na sura ya zhongtong climber
 
Back
Top Bottom