Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Hao uliowataja wanapatikana mitaa gani na wapo mkoa gani?Sio tttr tu, hao wanaofanya mods wako weng sana saiv, kuna hao TTTR, car max, upholstery co etc, na hao ni maarufu, bado wale ambao majina hayajakua sana, vile vile inategemea unataka kufanya mods gan
X-trail nayo utasema una gari?Naulizia iko vipi kuchongesha gari yako na kuifanya na muonekano tofauti na ilivyo toka kiwandani.
Kwa mafundi wanaweza waka boresha muonekano wa gari kwa mbele tofauti na ilivyo asili ya gari usika...
Correction, sio car max ni auto max, huyo automax, tttr an upholstery co. Wote wapo mikocheni, darHao uliowataja wanapatikana mitaa gani na wapo mkoa gani?
Kamata Land Cruiser Series 80 yenye 1hdt/1hz. Usahau habari za spea na wajukuu watakuja kulitumiaWakuu nimegraduate kwenye Sedan nataka niingie SUV niende na ipi? Kwa bajeti ya 8000USD?
X-trail nayo utasema una gari?
Aisee.,..JF bwana...X-trail nayo utasema una gari?
Acha tuuKaka.Heshimu Mali ya mtu ndugu huwezi kujua amepitia changamoto zipi kuzipata.
Kwani ni ndege mkuu!X-trail nayo utasema una gari?
X-trail nayo utasema una gari?
nakushauri iache hivyo hivyo kwakua unapoenda kubadili muonekano wanachomelea mabati na chuma kisha wanaweka puti.hivyo wanaondoa bumper la plastick.puti baada ya muda flani huachia na kubandukaNaulizia iko vipi kuchongesha gari yako na kuifanya na muonekano tofauti na ilivyo toka kiwandani.
Kwa mafundi wanaweza waka boresha muonekano wa gari kwa mbele tofauti na ilivyo asili ya gari usika.
Swali je haiwezi leta shida kwa gari kuwa na matatizo?...