Si bora ukaanzie diploma kama ni PCM maana mziki wake sio mdogo. ila kama hkl one kali uhakika.Asante ndugu yangu...
Je, hapo kwa PCM itakuwaje ??
Daaah ahsante saana bro ,,,,,, nashukuru sana ndugu yangu πππππSheria za mitihani za NECTA zinataka mtahiniwa wa kidato cha 6 awe na pass 3 za ufaulu kwa mtihani wa kidato cha 4. Yaani wao ili mtu asome form 6 (private) wanaangalia credit 3 (C tatu) bila kujali zimekaaje, yaani unaweza kuwa na C ya Hesabu, C ya Civics na C ya Agriculture, utastahili kusoma combination yoyote utakayo. Suala la kufaulu au kufeli combination hiyo litakuwa juu yako, hiyo uliyosena CCD ingekua na maana kama tungekuwa tunaongelea wewe kustahili kuchaguliwa shule za serikali. Kwa hiyo una sifa za kusoma combination yoyote utakayo
Unaruhusiwa kwa combination yoyote as far as una C tatu tayari. Ila kipanga mtarajiwa.....πHabari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina
PHYSICS-D
HISABATI-C
ENGLISH L-C
HISTORY-D
CHEMISTRY-C
CIVICS-D
GEOGRAPHY-D
KISW -C
BIOS- D
Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa ? Nimemaliza O level mwaka 2013.
Msaada tafadhali
Very well said.Sheria za mitihani za NECTA zinataka mtahiniwa wa kidato cha 6 awe na pass 3 za ufaulu kwa mtihani wa kidato cha 4. Yaani wao ili mtu asome form 6 (private) wanaangalia credit 3 (C tatu) bila kujali zimekaaje, yaani unaweza kuwa na C ya Hesabu, C ya Civics na C ya Agriculture, utastahili kusoma combination yoyote utakayo. Suala la kufaulu au kufeli combination hiyo litakuwa juu yako, hiyo uliyosena CCD ingekua na maana kama tungekuwa tunaongelea wewe kustahili kuchaguliwa shule za serikali. Kwa hiyo una sifa za kusoma combination yoyote utakayo
Nikweli ndugu yangu, sema nahitaji bachelor mana nipo kazn kuna target fulani nilitamani kuifika. Mbeleni ingenisaidia ndio maana nikauliza je itawezekana kwa CCD ... PCM kupga pepa ? Ilikuwa ndo means yake hiyo broπSi bora ukaanzie diploma kama ni PCM maana mziki wake sio mdogo. ila kama hkl one kali uhakika.
Dogo achana na bla bla kapige PCM haina ugum wowote, mapema kabisa anza kusoma na ku solve vipepa... one au two hii hapa...Nikweli ndugu yangu, sema nahitaji bachelor mana nipo kazn kuna target fulani nilitamani kuifika. Mbeleni ingenisaidia ndio maana nikauliza je itawezekana kwa CCD ... PCM kupga pepa ? Ilikuwa ndo means yake hiyo broπ
U give me more hope , bro thank you mungu aku bless sana ππDogo achana na bla bla kapige PCM haina ugum wowote, mapema kabisa anza kusoma na ku solve vipepa... one au two hii hapa...
Don't you let anyone tell you, it's tough and you cant do it.... Go make it happen darling.
Napiga mstariSheria za mitihani za NECTA zinataka mtahiniwa wa kidato cha 6 awe na pass 3 za ufaulu kwa mtihani wa kidato cha 4. Yaani wao ili mtu asome form 6 (private) wanaangalia credit 3 (C tatu) bila kujali zimekaaje, yaani unaweza kuwa na C ya Hesabu, C ya Civics na C ya Agriculture, utastahili kusoma combination yoyote utakayo. Suala la kufaulu au kufeli combination hiyo litakuwa juu yako, hiyo uliyosena CCD ingekua na maana kama tungekuwa tunaongelea wewe kustahili kuchaguliwa shule za serikali. Kwa hiyo una sifa za kusoma combination yoyote utakayo