Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahamu Sana na hii nyuzi ituelimisheKuna makampuni mengi South Africa yanauza matekta na zana za kilimo kwa bei ambayo sio mbaya sana huku yakiwa kwenye ubora mzuri.
Kwa wenye ujuzi au waliowahi kununu vip ubora wake upoje na pia kuna changamoto gani kwenye hizo zana za kilimo.?
View attachment 1974930View attachment 1974932View attachment 1974934View attachment 1974935View attachment 1974938
KweliTatizo wajuzi wa hizi mambo wako kimy. Maana kama hazina shida ni sehem nzuri sana kupata zana za kilimo
Ingiza hicho kiasi kwny Google afu anaandika to Tsh.Nyie wajuzi mmejificha wapi?
Mleta mada fanya kahuruma tuwekee Bei kwa Tshs nashindwa kukokotoa Rand kwa Shs tafadhali
Hiyo kampuni ya Agricom ipo TZ lakini inauza matrekta mapya tu na choice ni kati ya Swaraj (India) na Kubota (Japan). Mimi nimenuanua Swaraj 855 (55 hp), kwa millioni 36,000 za Kitanzania. Kumbuka materkta hayana kodi TZ kwa hiyo bei za TZ ni chini kuliko nchi nyingi.. Ukiagiza zee toka SA utauziwa na kodi yao.Nyie wajuzi mmejificha wapi?
Mleta mada fanya kahuruma tuwekee Bei kwa Tshs nashindwa kukokotoa Rand kwa Shs tafadhali
Safi sana upo vemaHiyo kampuni ya Agricom ipo TZ lakini inauza matrekta mapya tu na choice ni kati ya Swaraj (India) na Kubota (Japan). Mimi nimenuanua Swaraj 855 (55 hp), kwa millioni 36,000 za Kitanzania. Kumbuka materkta hayana kodi TZ kwa hiyo bei za TZ ni chini kuliko nchi nyingi.. Ukiagiza zee toka SA utauziwa na kodi yao.
Kwa vile nilikuwa sina pesa ya kutosha, nililipa millioni 22, na millioni 14 ukawa mkopo wa riba ya 15 kwa mwaka mmoja. Majembe nitanunua baada ya kumaliza kulipia trekta. Jembe 3 ni millioni 5, na trailer millioni 7.5. Ukiagiza SA, ukalipia usafiri mpaka kufika TZ hiyo pesa inaweza kutosha kununua Swaraj 855 (55 hp) mpya. Ukinunua trekta kwa r200,000 ni sawa na tsh millioni 32. Ukiongeza millioni kwa cash au mkpo unapata Swaraj mpya.
Swaraj inatengenezwa na kampuni ya matrekta ya Mahindra. Mahindra ni ya tatu kwa mauzo USA. Waliyonunua Swaraj wanaisifu kwa matumizi mazuri ya mafuta na bei nafuu za vipuri. Google Agricom uwatafute. Wana offisi za kanda Dar, Morogorio, Kahama, na Mbeya. Try them, you will not regret. I need to declare that I am not affiliated with Agricom TZ but I am their customer.
Kabla ya kuagiza pitia ubalozi wa Tanzania uliiko Afrika Kusini, afisa biashara nadhani atakuwepo akuthibitishie kama muuzaji yupo kweli na bidhaa ipo kwenye ubora uliotajwa.Kuna makampuni mengi South Africa yanauza matekta na zana za kilimo kwa bei ambayo sio mbaya sana huku yakiwa kwenye ubora mzuri.
Kwa wenye ujuzi au waliowahi kununu vip ubora wake upoje na pia kuna changamoto gani kwenye hizo zana za kilimo.?
View attachment 1974930View attachment 1974932View attachment 1974934View attachment 1974935View attachment 1974938
Sio kweli tractor jembe na tela kutoka South Africa Massey Ferguson 375 ni million kumi na tisa unaletewa mpaka darHiyo kampuni ya Agricom ipo TZ lakini inauza matrekta mapya tu na choice ni kati ya Swaraj (India) na Kubota (Japan). Mimi nimenuanua Swaraj 855 (55 hp), kwa millioni 36,000 za Kitanzania. Kumbuka materkta hayana kodi TZ kwa hiyo bei za TZ ni chini kuliko nchi nyingi.. Ukiagiza zee toka SA utauziwa na kodi yao.
Kwa vile nilikuwa sina pesa ya kutosha, nililipa millioni 22, na millioni 14 ukawa mkopo wa riba ya 15 kwa mwaka mmoja. Majembe nitanunua baada ya kumaliza kulipia trekta. Jembe 3 ni millioni 5, na trailer millioni 7.5. Ukiagiza SA, ukalipia usafiri mpaka kufika TZ hiyo pesa inaweza kutosha kununua Swaraj 855 (55 hp) mpya. Ukinunua trekta kwa r200,000 ni sawa na tsh millioni 32. Ukiongeza millioni kwa cash au mkpo unapata Swaraj mpya.
Swaraj inatengenezwa na kampuni ya matrekta ya Mahindra. Mahindra ni ya tatu kwa mauzo USA. Waliyonunua Swaraj wanaisifu kwa matumizi mazuri ya mafuta na bei nafuu za vipuri. Google Agricom uwatafute. Wana offisi za kanda Dar, Morogorio, Kahama, na Mbeya. Try them, you will not regret. I need to declare that I am not affiliated with Agricom TZ but I am their customer.
Suala la bei ji kweli zipo chini na usafirishaji sio shida sana.Nimecheki hapa kwa leo rand 1 ni 152.472tsh, so utapiga hesabu apo mwenyewe kwa hiyo hela yako ya kibongo itakuwa rand ngapi ,,, sina ninalolijua kwenye matractor isipokuwa tractor nyingi zinazotumika huku s.a ni john deere,,, nafikiri hizi ndio bora zaidi na ndio maana makaburu wanazipenda sana ,,, sijui kuhusiana na bei wala usafirishaji wake.
Uko sahihi ila upo nje ya mada kidogo mkuu naona unatupa plan B wakati palan A haijafeli.Hiyo kampuni ya Agricom ipo TZ lakini inauza matrekta mapya tu na choice ni kati ya Swaraj (India) na Kubota (Japan). Mimi nimenuanua Swaraj 855 (55 hp), kwa millioni 36,000 za Kitanzania. Kumbuka materkta hayana kodi TZ kwa hiyo bei za TZ ni chini kuliko nchi nyingi.. Ukiagiza zee toka SA utauziwa na kodi yao.
Kwa vile nilikuwa sina pesa ya kutosha, nililipa millioni 22, na millioni 14 ukawa mkopo wa riba ya 15 kwa mwaka mmoja. Majembe nitanunua baada ya kumaliza kulipia trekta. Jembe 3 ni millioni 5, na trailer millioni 7.5. Ukiagiza SA, ukalipia usafiri mpaka kufika TZ hiyo pesa inaweza kutosha kununua Swaraj 855 (55 hp) mpya. Ukinunua trekta kwa r200,000 ni sawa na tsh millioni 32. Ukiongeza millioni kwa cash au mkpo unapata Swaraj mpya.
Swaraj inatengenezwa na kampuni ya matrekta ya Mahindra. Mahindra ni ya tatu kwa mauzo USA. Waliyonunua Swaraj wanaisifu kwa matumizi mazuri ya mafuta na bei nafuu za vipuri. Google Agricom uwatafute. Wana offisi za kanda Dar, Morogorio, Kahama, na Mbeya. Try them, you will not regret. I need to declare that I am not affiliated with Agricom TZ but I am their customer.
Very helpful comradeHiyo kampuni ya Agricom ipo TZ lakini inauza matrekta mapya tu na choice ni kati ya Swaraj (India) na Kubota (Japan). Mimi nimenuanua Swaraj 855 (55 hp), kwa millioni 36,000 za Kitanzania. Kumbuka materkta hayana kodi TZ kwa hiyo bei za TZ ni chini kuliko nchi nyingi.. Ukiagiza zee toka SA utauziwa na kodi yao.
Kwa vile nilikuwa sina pesa ya kutosha, nililipa millioni 22, na millioni 14 ukawa mkopo wa riba ya 15 kwa mwaka mmoja. Majembe nitanunua baada ya kumaliza kulipia trekta. Jembe 3 ni millioni 5, na trailer millioni 7.5. Ukiagiza SA, ukalipia usafiri mpaka kufika TZ hiyo pesa inaweza kutosha kununua Swaraj 855 (55 hp) mpya. Ukinunua trekta kwa r200,000 ni sawa na tsh millioni 32. Ukiongeza millioni kwa cash au mkpo unapata Swaraj mpya.
Swaraj inatengenezwa na kampuni ya matrekta ya Mahindra. Mahindra ni ya tatu kwa mauzo USA. Waliyonunua Swaraj wanaisifu kwa matumizi mazuri ya mafuta na bei nafuu za vipuri. Google Agricom uwatafute. Wana offisi za kanda Dar, Morogorio, Kahama, na Mbeya. Try them, you will not regret. I need to declare that I am not affiliated with Agricom TZ but I am their customer.
tupe mwanga zaidi kuhusu hilo mkuuSio kweli tractor jembe na tela kutoka South Africa Massey Ferguson 375 ni million kumi na tisa unaletewa mpaka dar