Yes, kwa nilivoelewa mimi, sasahv watu wengi walikuwa wanatega had number anayoitaka. Hii haikuwa fursa wazi kwa wote kwani ilibidi uwe na mtu TRA unampoza anakutegea.Hivi walivyosema kusajili kwa 500,000 wanamaanisha nini? Maana mfano umenunua gari Japan ukalipa makorokoro yote hadi ile registration ya 500,000 ina maana utatakiwa ulipie tena 500,000 ili upate T XXX JPM?
Hii sidhani kama ni tatizo, hata sasa watu wanabumba number.Huu mtindo wataufanya kwa mwaka mmoja tu halafu watauondoa. Wizi wa magari na namba feki zitatapakaa. Sasa hivi hatuna gari zenye mamba inayoanza na E, na hivyo gari ikionekana na namba inayoanza na E, hata raia wa kawaida tu lazima ajue kuwa ni feki. Baada ya hapo, wenye kujua kuwa namba ni feki watakuwa ni Police Traffic na TRA pekee, raia wengine hatajua!
Naona hii inaenda kuua kabisa yale mambo ya hii gari namba D gari itauzwa kutokana na soko itakua vizuri kama wataweza kudhibiti namba feki itakua safi sana yalr mambo ya gari bado mpya kabisa yatakiwshaYes, kwa nilivoelewa mimi, sasahv watu wengi walikuwa wanatega had number anayoitaka. Hii haikuwa fursa wazi kwa wote kwani ilibidi uwe na mtu TRA unampoza anakutegea.
Ni kama ile ya kuweka majina unalipa 10m kwa miaka mitatu.
Ni chanzo vizuri cha mapato
Huoni kuwa sasa wamerudisha tatizo walilowahi kuliondoa, tena safari hii kwa scale ya juu zaidi? Hizi za sasa zilikuwa zinasaidia kwa sababu hata mtoto wa shule ya msingi alikuwa anaweza kujua kuwa ni range ya namba zipi ambazo ni valid kwa sasa. Labda tusubiri kwanza halafu tuone itakuwaje!Hii sidhani kama ni tatizo, hata sasa watu wanabumba number.
Kama unakumbuka kabla bajaj na bodaboda wawe na number zao, kulitokea scandal kutumika kwa number zinaonyesha ni lori la mafuta limepeleka nje ya nchi kumbe ni bajaj na bodaboda baada ya kugundulika.
Hapana, hata sasa number fakes zipo nyingi.., hujawahi kutana na magari yanaitwa mapacha?Huoni kuwa sasa wamerudisha tatizo walilowahi kuliondoa, tena safari hii kwa scale ya juu zaidi? Hizi za sasa zilikuwa zinasaidia kwa sababu hata mtoto wa shule ya msingi alikuwa anaweza kujua kuwa ni range ya namba zipi ambazo ni valid kwa sasa. Labda tusubiri kwanza halafu tuone itakuwaje!
Kuanzia July baada ya bajeti mpya mtu utaweza sajili gari kwa number yoyote as long as haijasajiliwa, kwa pesa sh. Laki tano.
Hivyo kuanzia julai usishangae kukutana na gari number T XXX ZPB mfano.
Hili sidhani, kwani hata sasa huwezi badili usajiliJe, kwa utaratibu huu nitaweza kubadili namba ya gari langu? Mfano nimenunua gari kwa mtu CDH, nikataka nibadili isome namba za mbele mfano DXP
Huyo wa Showroom ye alinunua akaisajili kitambo tu. Sasa unazokutana nazo Ni zile zilizosajiliwa baada ya hii ya showroom, Hiyo pekee ndo sababu.
Tuliza akili uandike upya. HuelewekiMkuu mimi siko huko, kitu nilichotak kujua ni kimoja tu labda unashidwa nielewa,mfano wewe umetoka kusajili gari yako leo ukapewa DSR then unaingia barabarani unakutan na DTP huo ni mfano tu, ndio nikaona niulize labda kuna kitu mimi sikijui
Usiseme ni fake mkuu kama week mbili Tabata nimekitana na gari mbili moja usajili ni E na nyingne F zimeongozana sio kila kitu tunajua mengne hatujui mengi tu.Huu mtindo wataufanya kwa mwaka mmoja tu halafu watauondoa. Wizi wa magari na namba feki zitatapakaa. Sasa hivi hatuna gari zenye mamba inayoanza na E, na hivyo gari ikionekana na namba inayoanza na E, hata raia wa kawaida tu lazima ajue kuwa ni feki. Baada ya hapo, wenye kujua kuwa namba ni feki watakuwa ni Police Traffic na TRA pekee, raia wengine hatajua!
Sawa kabisa, kwa sasa hivi zipo, ila kipindi naandika post hii ilikuwa kabla ya July 1, 2020 hazikuwepo, zilikuwa bado hazijaanza. Zilainza Julai mosi 2020Usiseme ni fake mkuu kama week mbili Tabata nimekitana na gari mbili moja usajili ni E na nyingne F zimeongozana sio kila kitu tunajua mengne hatujui mengi tu
Pia kuna gari wanatumia baadhi ya watu usajili wake ni biashara ila uhalisia sio biashara
Inamaanisha ni pesa yako tu unanunua namba za mbele? Maana kiutaratibu halali hatujafika E bado tupo DT...Sawa kabisa, kwa sasa hivi zipo, ila kipindi naandika post hii ilikuwa kabla ya July 1, 2020 hazikuwepo, zilikuwa bado hazijaanza. Zilainza Julai mosi 2020
Ndiyo. Utaratibu umeanza kuwa hivyo tangu Julai mosi kwenye budget ya 2020/2021.Inamaanisha ni pesa yako tu unanunua namba za mbele? Maana kiutaratibu halali hatujafika E bado tupo DT...
kubadali namba huwezi mkuu ila labda ulinunue visiwani then uje nalo hapa ulifanyie usajili, utapewa namba nyingine maana za zanzibar hapa hazitumki ka namba za nchi, labda kwa kipindi kifup tuJe, kwa utaratibu huu nitaweza kubadili namba ya gari langu? Mfano nimenunua gari kwa mtu CDH, nikataka nibadili isome namba za mbele mfano DXP
HAKUNA NA HAUPO HUO UTARATIBU NCHINI.Usiseme ni fake mkuu kama week mbili Tabata nimekitana na gari mbili moja usajili ni E na nyingne F zimeongozana sio kila kitu tunajua mengne hatujui mengi tu
Pia kuna gari wanatumia baadhi ya watu usajili wake ni biashara ila uhalisia sio biashara
Mengine yanaenda nje ya nchi.Meli moja ikiingia bandarini inaweza shusha magari elfu tano.. Au unadhani wewe peke ako ndo unakuwa umenunua gari siku hiyo.. Meli moja inaweza chukua hata herufi tano kwa kuwa herufi moja inabeba magari 889 hivi!