Naomba ufafanuzi kuhusu usajili wa plate number za magari

Hivi walivyosema kusajili kwa 500,000 wanamaanisha nini? Maana mfano umenunua gari Japan ukalipa makorokoro yote hadi ile registration ya 500,000 ina maana utatakiwa ulipie tena 500,000 ili upate T XXX JPM?
Yes, kwa nilivoelewa mimi, sasahv watu wengi walikuwa wanatega had number anayoitaka. Hii haikuwa fursa wazi kwa wote kwani ilibidi uwe na mtu TRA unampoza anakutegea.

Ni kama ile ya kuweka majina unalipa 10m kwa miaka mitatu.

Ni chanzo vizuri cha mapato
 
Huu mtindo wataufanya kwa mwaka mmoja tu halafu watauondoa. Wizi wa magari na namba feki zitatapakaa. Sasa hivi hatuna gari zenye mamba inayoanza na E, na hivyo gari ikionekana na namba inayoanza na E, hata raia wa kawaida tu lazima ajue kuwa ni feki. Baada ya hapo, wenye kujua kuwa namba ni feki watakuwa ni Police Traffic na TRA pekee, raia wengine hatajua!
Hii sidhani kama ni tatizo, hata sasa watu wanabumba number.

Kama unakumbuka kabla bajaj na bodaboda wawe na number zao, kulitokea scandal kutumika kwa number zinaonyesha ni lori la mafuta limepeleka nje ya nchi kumbe ni bajaj na bodaboda baada ya kugundulika.
 
Naona hii inaenda kuua kabisa yale mambo ya hii gari namba D gari itauzwa kutokana na soko itakua vizuri kama wataweza kudhibiti namba feki itakua safi sana yalr mambo ya gari bado mpya kabisa yatakiwsha
 
Hii sidhani kama ni tatizo, hata sasa watu wanabumba number.

Kama unakumbuka kabla bajaj na bodaboda wawe na number zao, kulitokea scandal kutumika kwa number zinaonyesha ni lori la mafuta limepeleka nje ya nchi kumbe ni bajaj na bodaboda baada ya kugundulika.
Huoni kuwa sasa wamerudisha tatizo walilowahi kuliondoa, tena safari hii kwa scale ya juu zaidi? Hizi za sasa zilikuwa zinasaidia kwa sababu hata mtoto wa shule ya msingi alikuwa anaweza kujua kuwa ni range ya namba zipi ambazo ni valid kwa sasa. Labda tusubiri kwanza halafu tuone itakuwaje!
 
Hapana, hata sasa number fakes zipo nyingi.., hujawahi kutana na magari yanaitwa mapacha?

Kama siku yako ya kudakwa imefika, utakamatwa tu.
 
Kuanzia July baada ya bajeti mpya mtu utaweza sajili gari kwa number yoyote as long as haijasajiliwa, kwa pesa sh. Laki tano.

Hivyo kuanzia julai usishangae kukutana na gari number T XXX ZPB mfano.

Je, kwa utaratibu huu nitaweza kubadili namba ya gari langu? Mfano nimenunua gari kwa mtu CDH, nikataka nibadili isome namba za mbele mfano DXP
 
Hili sidhani, kwani hata sasa huwezi badili usajili
 
Huyo wa Showroom ye alinunua akaisajili kitambo tu. Sasa unazokutana nazo Ni zile zilizosajiliwa baada ya hii ya showroom, Hiyo pekee ndo sababu.

Labda niulize kidgo mkuu,hvi mfano hawa wanaoagiza magari na kuwekwa yard huwa yanakuwa na usajili wowote wa awali au huwa inakuwaje???
 
Mkuu mimi siko huko, kitu nilichotak kujua ni kimoja tu labda unashidwa nielewa,mfano wewe umetoka kusajili gari yako leo ukapewa DSR then unaingia barabarani unakutan na DTP huo ni mfano tu, ndio nikaona niulize labda kuna kitu mimi sikijui
Tuliza akili uandike upya. Hueleweki
 
Huu mtindo wataufanya kwa mwaka mmoja tu halafu watauondoa. Wizi wa magari na namba feki zitatapakaa. Sasa hivi hatuna gari zenye mamba inayoanza na E, na hivyo gari ikionekana na namba inayoanza na E, hata raia wa kawaida tu lazima ajue kuwa ni feki. Baada ya hapo, wenye kujua kuwa namba ni feki watakuwa ni Police Traffic na TRA pekee, raia wengine hatajua!
Usiseme ni fake mkuu kama week mbili Tabata nimekitana na gari mbili moja usajili ni E na nyingne F zimeongozana sio kila kitu tunajua mengne hatujui mengi tu.

Pia kuna gari wanatumia baadhi ya watu usajili wake ni biashara ila uhalisia sio biashara
 
Usiseme ni fake mkuu kama week mbili Tabata nimekitana na gari mbili moja usajili ni E na nyingne F zimeongozana sio kila kitu tunajua mengne hatujui mengi tu

Sawa kabisa, kwa sasa hivi zipo, ila kipindi naandika post hii ilikuwa kabla ya July 1, 2020 hazikuwepo, zilikuwa bado hazijaanza. Zilainza Julai mosi 2020
 
Inamaanisha ni pesa yako tu unanunua namba za mbele? Maana kiutaratibu halali hatujafika E bado tupo DT...
 
Meli moja ikiingia bandarini inaweza shusha magari elfu tano.. Au unadhani wewe peke ako ndo unakuwa umenunua gari siku hiyo.. Meli moja inaweza chukua hata herufi tano kwa kuwa herufi moja inabeba magari 889 hivi!
 
Je, kwa utaratibu huu nitaweza kubadili namba ya gari langu? Mfano nimenunua gari kwa mtu CDH, nikataka nibadili isome namba za mbele mfano DXP
kubadali namba huwezi mkuu ila labda ulinunue visiwani then uje nalo hapa ulifanyie usajili, utapewa namba nyingine maana za zanzibar hapa hazitumki ka namba za nchi, labda kwa kipindi kifup tu
 
Usiseme ni fake mkuu kama week mbili Tabata nimekitana na gari mbili moja usajili ni E na nyingne F zimeongozana sio kila kitu tunajua mengne hatujui mengi tu
Pia kuna gari wanatumia baadhi ya watu usajili wake ni biashara ila uhalisia sio biashara
HAKUNA NA HAUPO HUO UTARATIBU NCHINI.
LABDA ULIZIONA GARI ZA KAZI MAALUMU NA NAMBA ZAO MAALUMU KWA KAZI ZAO. HAKUNA USAJILI WA "E"

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
NewGapi,
Hivi walivyosema kusajili kwa 500,000 wanamaanisha nini? Maana mfano umenunua gari Japan ukalipa makorokoro yote hadi ile registration ya 500,000 ina maana utatakiwa ulipie tena 500,000 ili upate T XXX JPM?
Ndio
 
Habarini wadau mimi naomba kuuliza utaratibu wa kufanya usajili wa magari ya kizamani yenye number (mfano; yenye plate number MS 321 au MG 109) kuja kwenye mfumo wa (T*** ZZZ). Inakuaje?
 
Back
Top Bottom