NewGapi
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 313
- 960
Yes, kwa nilivoelewa mimi, sasahv watu wengi walikuwa wanatega had number anayoitaka. Hii haikuwa fursa wazi kwa wote kwani ilibidi uwe na mtu TRA unampoza anakutegea.Hivi walivyosema kusajili kwa 500,000 wanamaanisha nini? Maana mfano umenunua gari Japan ukalipa makorokoro yote hadi ile registration ya 500,000 ina maana utatakiwa ulipie tena 500,000 ili upate T XXX JPM?
Ni kama ile ya kuweka majina unalipa 10m kwa miaka mitatu.
Ni chanzo vizuri cha mapato