feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Wakuu habari
Nimeona kua Tume ya taifa ya uchaguzi itagawa magari kwa vyama vyote vinashindana katika nafasi ya urais ,kila chama itapata Land cruiser V8 GX mpya.
Swali naomba kujuzwa hii system ipo kwa miaka yote ya uchaguzi tangu huko nyuma? Na je kuna sheria kabisa inayosema kuhusu jambo hilo?. Na je baada ya kampeni watazirudisha au ndo linakua la chama cha mgombea? Vipi kuhusu mafuta na dereva nani analipa?
Naomba kujuzwa nijifunze