GE2025 Naomba ufafanuzi: kuhusu wagombea wa urais kupewa gari landcruiser V8 GX mpya.

GE2025 Naomba ufafanuzi: kuhusu wagombea wa urais kupewa gari landcruiser V8 GX mpya.

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni utaratibu mzuri manufaa ya Watanzania kwani watapata kumuona Kila mgombea wa nafasi ya kiti Cha rais kwani hakuna kisingizio Cha kuwa hakukuwa na usafiri
 
Shida iliyokuepo hiyo tuma sio huru ,isije kua kuna mazingira ya rushwa yanatengenezwa. Kumbuka Mgombea wa CCM ndige aliyeteua hiyo tume.
Naendelea kusisitiza kuwa ni jambo zuri kwa sisi tunaoamini kuwa uchaguzi itakuwa huru na wa haki kwani tutapata nafasi ya kumuona Kila mgombea wa nafasi ya urais.lakini katika muktadha mwingine kama tume sio huru kama unavyodai basi yamkini Kuna mazingira ya kuwa weka kwapani wagombea wa upinzani kwani serikali ya chama tawala ndio yenye mamlaka ya kuteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi cc feyzal
 
Back
Top Bottom