Wakuu habari
Nimeona kua Tume ya taifa ya uchaguzi itagawa magari kwa vyama vyote vinashindana katika nafasi ya urais ,kila chama itapata Land cruiser V8 GX mpya.
Swali naomba kujuzwa hii system ipo kwa miaka yote ya uchaguzi tangu huko nyuma? Na je kuna sheria kabisa inayosema kuhusu jambo hilo?.
Naomba kujuzwa nijifunze
Kwa maelezo yao kila gari litakua na dereva, kuhakikisha kila mgombea anafika kila mahali wakati wa kampeni.Shukran kwa marekebisho
Je huko nyuma iliwahi fanyika hivi? Na hii sheria ilikuepo au mpya?Kwa maelezo yao kila gari litakua na dereva, kuhakikisha kila mgombea anafika kila mahali wakati wa kampeni.
Nadhani watakua na budget ya mafuta (kupitia system ya GPSA), service na posho ya dereva.
Na pia hawajatoa ufafanuzi kama baada ya kampeni yanarudi tume au.
Kusema kweli sikumbukiJe huko nyuma iliwahi fanyika hivi? Na hii sheria ilikuepo au mpya?
Neno vieite (v8) litabaki midomoni kwa muda mrefu sanaNi LandCruiser VX au ZX mpya za 2025 sio V8.
View attachment 3454901
Yanakuwa Mali ya chama.Kwa maelezo yao kila gari litakua na dereva, kuhakikisha kila mgombea anafika kila mahali wakati wa kampeni.
Nadhani watakua na budget ya mafuta (kupitia system ya GPSA), service na posho ya dereva.
Na pia hawajatoa ufafanuzi kama baada ya kampeni yanarudi tume au.
Lucas Mwashambwa njoo huku utoe mwongozo.Wakuu habari
Nimeona kua Tume ya taifa ya uchaguzi itagawa magari kwa vyama vyote vinashindana katika nafasi ya urais ,kila chama itapata Land cruiser V8 GX mpya.
Swali naomba kujuzwa hii system ipo kwa miaka yote ya uchaguzi tangu huko nyuma? Na je kuna sheria kabisa inayosema kuhusu jambo hilo?. Na je baada ya kampeni watazirudisha au ndo linakua la chama cha mgombea? Vipi kuhusu mafuta na dereva nani analipa?
Naomba kujuzwa nijifunze