Naomba ufafanuzi kuhusu Yanga kuzuia kibali cha kazi cha Morrison

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Nimepita nimekuta taarifa iliyotolewa na Bumbuli kuwa Yanga inakishikilia kibali cha kazi cha Benard Morrison mpaka swala litakapoisha.

Sasa nikashangaa liishe vipi wakati lilishaisha TFF ilituambia Morrison ni mchezaji huru?

Je Yanga wapo juu ya sheria? Je uhamiaji hawawezi kutoa kibali kipya?

Ningeomba ufafanuzi maana naona kama Yanga wanashindwa kuheshimu maamuzi ya TFF
bm3gh_20200825_2.jpeg
 
Kubali cha mgeni kufanya kazi tanzania,huombwa na mtu au kampuni inayomtaka mtu huyo idara ya kazi,na idara ya kazi wakikubali,wanawaandikia uhamiaji ili wampe huyo mtu kibali cha kuishi na kufanya kazi,sasa hiyo kampuni au mtu anaweza kuwaarifu idara ya kazi kuwa hawamuihitaji huyo mtu,na idara ya uhamiaji,inaweza kumuondoa mtu huyo,sasa morrison anaweza kuombewa kibali na simba,na wanaohusika wakiona ni sawa wanampa kibali
 
Kubali cha mgeni kufanya kazi tanzania,huombwa na mtu au kampuni inayomtaka mtu huyo idara ya kazi,na idara ya ka,i wakikubali,wanawaandikia uhamiaji ili wampe huyo mtu kibali cha kuishi na kufanya kazi,sasa hiyo kampuni au mtu anaweza kuwaarifu idara ya kazi kuwa hawamuihitaji huyo mtu,na idara ya uhamiaji,inaweza kumuondoa mtu huyo,sasa morrison anaweza kuombewa kibali na simba,na wanaohusika wakiona ni sawa wanamoa kibali
So simply yanga wanajisumbua
 
Shauri kikiisha salama, Yanga wanatakiwa kuitoa na barua ya no objection. Hapo Mikia FC mpaka muombe poo.
 
Yanga wemekata rufaaa.
Kawaida kibali cha kazi hutolewa kwa kufanya kazi kwa kampuni/taasisi mahsusi. Mtu akipewa kibali cha miaka 3 cha kufanya kazi katika kampuni A halafu mwaka wa pili akata kwenda kufanya kazi kampuni B, hawezi kuhama na kibali cha awali. Itambidi aondoke nchini kisha aombe upya kibali cha kufanya kampuni B.
 
Hawawezi kupewa kingine mpaka gogoro liishe. Atanyooka tu.
Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
 
Kawaida kibali cha kazi hutolewa kwa kufanya kazi kwa kampuni/taasisi mahsusi. Mtu akipewa kibali cha miaka 3 cha kufanya kazi katika kampuni A halafu mwaka wa pili akata kwenda kufanya kazi kampuni B, hawezi kuhama na kibali cha awali. Itambidi aondoke nchini kisha aombe upya kibali cha kufanya kampuni B.
Hakuna ulazima wa kuondoka kwanza nchini, kinachofanyika ni huyo muajiri wake mpya kwenda kubadirisha kibali, kama anatimiza vigezo vyote vilivyowekwa kwenye aina hiyo ya kibali.
 
Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
Naona umecopy ya magori umekuja kupaste huku.
Hebu icopy hiyo sheria uipaste hapa tuione
 
Magori yupi?!!!! Kwani hili sakata la morison ndio la kwanza kutokea duniani? Jifunze kupinga hoja kwa hoja na sio mipasho, katafute nini maana ya FIFA PROVISIONAL PERMIT "ndio utaelewa!! Kwa akili hizo ndio maana viongozi wenu simba/yanga wanawalisha matango poli ili kuwafurahisha tu. Eti umzuie mchezaji kucheza kisa una mgogoro naye!!! Wazungu waliliona hilo kwani wanafahamu roho mbaya za mwafrika.
 
Matango pori yapi kwa mfano?
Hiyo sheria iko wapi? Ilete hapa tuisome tuielewe.
Unajua unapoleta hoja na kuelezea kitu watu wakitaka uthibitishe kinachotakiwa ni kuthibitisha na sio kuwaambia wakatafute wao.
Yanga wanadai wana mkataba na mchezaji na hilo hata ukisikiliza hukumu ya tff wamelisema na wakaenda mbele zaidi na kisema mkataba una mapungufu na arudishe pesa sasa huoni kwamba tff wamevunja mkataba ambao hawana hata uwezo wa kufanya hivo
 
Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
Uhamiaji wanatoa residence permit baada ya kupata work permit toka Labour. Hivyo kama anaendelea Simba itahitajika barua ya no objection toka Yanga, siyo walazimishwa kwa kuwa wao ndo waliomuombea kibali. Usikariri maneno ya Magori msanii tu.
 
Kawaida kibali cha kazi hutolewa kwa kufanya kazi kwa kampuni/taasisi mahsusi. Mtu akipewa kibali cha miaka 3 cha kufanya kazi katika kampuni A halafu mwaka wa pili akata kwenda kufanya kazi kampuni B, hawezi kuhama na kibali cha awali. Itambidi aondoke nchini kisha aombe upya kibali cha kufanya kampuni B.
Hii aliifanya senzo baada ya kumalizana na simba aliondoka nchini kurudi kwao south Africa, ndio karudi tena majuzi yanga wakamuombea kibali
 
na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga
Kwa akili zako unadhani Yanga wanamtaka Morisson achezee timu yao? Wanataka fedha, tumempa exposure akapata timu Kuwait signing fee $100,000. Angeacha $50,000 Yanga wangemuachia. Kanjibai atatupa hela ya kuchukua kifaa dirisha dogo.
We subiri.
1598449823212.png
 
Back
Top Bottom