Naomba ufafanuzi kuhusu Yanga kuzuia kibali cha kazi cha Morrison

Naomba ufafanuzi kuhusu Yanga kuzuia kibali cha kazi cha Morrison

Polen sana nyie mbwa. Kama mnategemea pesa za simba kutatulia matatizo yenu... MTATESEKA SANA. HAMPATI HATA THUMNI.... MLITULETEA MORRISON SISI TUMECHUKUA. AMEKUJA CHUO... NYIE ENDELEEANI KUBWEKA NA KUPIGA MAKELELE KAMA NYANI.πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ΅πŸ΅πŸ΅πŸ΅πŸ•πŸ•πŸ•πŸ•πŸ•πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hatutaki aje ila haki itendeke na Mikia FC waje mezani tuwape dau.
 
IMG-20200827-WA0017.jpg
 
Senzo kavunja mkataba kihalali kabisa. Wamekabidhiana ofisi, sasa kibali unakizuia cha nini? Senzo si mwajiriwa wa Simba tena, hivyo aweza hata kurudi kwao na Simba hawana uwezo wa kumfungulia kesi. Morrison? Bado ana mgogoro wa kimkataba, hivyo anatakiwa awe mpole.
Kwa sababu uwezo wenu wa kufikiria umeishia hapo
 
Msolwa alisema Yanga inahitaji wachezaji wawili wa nje ,tayari wanao 10,na tayari wanao wachezaji 8 wa kigeni,basi kama ni hivo pamoja na Morison ni wachezaji 11,sasa nikuulize wachezaji wa kigeni wako 8,msolwa amesema bado wawili ina maana jumla wapo 8,nijibu wachezaji wa kigeni waliosajiliwa na Yanga hadi sasa ni wangapi ?
Yanga hawajielewi inaonekana ujinga wao ni zaidi ya manyani ngoja wakimbilie huko ije kesi ya kushushwa daraja maana kuna viwakili uchwara vinapewa promo na magazeti yao vonawadanganya.
Kumbe hata Tshishimbi alikuwa na haki ya kuwafungulia kesi maana walimsaini wakamtema.
 
Yanga hawajielewi kabisa ,baadaye watakuja kulalamika tunabebwa wakati hadi sasa wanafukuzana na usajili
Yanga hawajielewi inaonekana ujinga wao ni zaidi ya manyani ngoja wakimbilie huko ije kesi ya kushushwa daraja maana kuna viwakili uchwara vinapewa promo na magazeti yao vonawadanganya.
Kumbe hata Tshishimbi alikuwa na haki ya kuwafungulia kesi maana walimsaini wakamtema.
 
Msolwa alisema Yanga inahitaji wachezaji wawili wa nje ,tayari wanao 10,na tayari wanao wachezaji 8 wa kigeni,basi kama ni hivo pamoja na Morison ni wachezaji 11,sasa nikuulize wachezaji wa kigeni wako 8,msolwa amesema bado wawili ina maana jumla wapo 8,nijibu wachezaji wa kigeni waliosajiliwa na Yanga hadi sasa ni wangapi ?
Wewe unaesema wapo 11 tutajie.
 
Nimepita nimekuta taarifa iliyotolewa na Bumbuli kuwa Yanga inakishikilia kibali cha kazi cha Benard Morrison mpaka swala litakapoisha.

Sasa nikashangaa liishe vipi wakati lilishaisha TFF ilituambia Morrison ni mchezaji huru?

Je Yanga wapo juu ya sheria? Je uhamiaji hawawezi kutoa kibali kipya?

Ningeomba ufafanuzi maana naona kama Yanga wanashindwa kuheshimu maamuzi ya TFF View attachment 1548128
Kwani kwa sasa kibali cha Senzo anacho nani?
 
Hii aliifanya senzo baada ya kumalizana na simba aliondoka nchini kurudi kwao south Africa, ndio karudi tena majuzi yanga wakamuombea kibali
Acha uongo,
Nilikutana nae Dubai
 
Ule mkataba ulisainiwa toka mwezi march na ukawekwa kwenye system tff wakauona na wakaukaushia tu.
Sasa juzi inakuaje wanaibuka kua mkataba una makosa?
Je tff ana haki ya kuvunja mkataba kisa unamapungufu?
System ya usajili wa tff haifunguki mda wote bali kwa kipind maalum cha usajili wa dirisha dogo la January na lile dirisha kubwa la August,

na mikataba yote ya wachezaji lazima imalizike dirisha dogo au kubwa ya usajili,

mkataba wa Morrison uliongizwa kwenye system ya usajili ni ule wa miezi sita kwa sababu alisajiliwa dirisha dogo la January, ila aliosaini mwezi wa tatu haukuingizwa kwenye system ya usajili kwa sababu mda wa kufungua usajili ulikuwa bado,

km unafatiria mpira kipind hiki cha Corona fifa ilitoa tangazo la wachezaji wote mikataba inaoisha mwezi sita kuongeza miezi miwili bure uku wakilipwa mishahara yao ili kuendana na msimu wa usajili wa dirisha kubwa.
 
Mbona swala la kocha limetowela ufafanuzi na limeeleweka mkuu au shida yako nini?
Yanga mpaka sasa wana wachezaji 8 wa kigeni na kwenye system yao wamemjumlisha na morrison ko jumla 9
Na kwa taarifa zilizopo hapo yanga ndo washamaliza usajili labda atokee tu mmoja wakuongezwa
Yanga hawawezi kumjumuisha Morrison kwenye usajili refer kwa hukum iliotoka kuwa ni mchezaji huru
 
Yanga ndio wanao julikana na mamlaka...any issue violeted in the country by Morrisson Yanga will be answerable...!!

Yanga mpaka waka mkane Morrisson kuwa sio wao.....!! na wanatakiwa waka update kibari cha kuendelea kuishi...udanii wa tff na the lest ndio unacost soccer la bongo.

Yanga walikuwa sahihi kila idara....Simba alitakiwa kuwa banned....mkataba wa.Morrison na Yanga unamaoungufu but hii i justify kuwa mchezaji wa Simba.

Walitakiwa walegulate na simba waongee na Yanga kama mwajiri wa Morrison ili wa mnunue hizi janjajanja za soccer letu ndio shida.

Kila mtu mtoto wa mjini. Ndio maana hukumu ilichukuwa siku kadhaa tff wengi ni simba...

Ila Jmaaa anakibari cha kukipiga kimataifa yanga mpaka fifa.

Ni ujinga na ubabaishaji wa tff
Kaka ili sakata kuna mtu aliniambia kitu.....
Yeye Morrison aliwashitaki yanga tff kuwa hajasaini mkataba wa miaka miwili na hilo shauri likwa linaendelea tff mpk pale ilipotolewa hukum.

Lkn simba mpk wanafika hatua ya kumsajili Morrison wao hawakuangalia ule mkataba wa miaka miwili,ila wao simba walideal na ule wa miezi sita

Iko hivi dirisha dogo usajili la mwaka huu 2020 lilifungwa trh 15 January, na Morrison alifika Tanzania trh 17 January inamaana alifika nchini usajili ulishafungwa.

Na hakuna email au fax ya mkataba wa yanga waliomtumia Morrison asaini wakiwa uko kwao Ghana

Na Morrison alicheza mechi mbili bila mkataba ikiwa ile ya singida kombe la fa na ya hapa ligi kuu na ruvu shooting,

Morrison alisaini mkataba wake ule wa miezi sita trh 28 January

Mm na ww hatujua kilichofanyika kati yanga na tff kuingiza mkataba wa Morrison ule wa miezi sita trh 14 January 2020, wakati Morrison hajafika nchini na wala hakuna email wala fax ya mkataba aliotumia akiwa kwako Ghana.

Kamati kuchukua siku tatu za maamzi ilikuwa ni kusawazisha mambo kati ya yanga na tff, simba wao walidili na ule mkataba wa miezi sita kuwa Morrison aliingia Tz trh 17 ikiwa usajili ulishafungwa uku Morrison anasema yy hajasaini mkataba wa miaka miwili.
 
Acha uongo,
Nilikutana nae Dubai
Alipoenda simba kukabidhi vitu vya ofisi na kumalizana na uongozi, aliondoka nchini kwenda kwako

Yeye alisema anaenda kwao mie nikajua kaenda south Africa, km umekutana nae dubai ni sawa coz nilichokuwa namaanisha nikuondoka nchini baada ya kumalizana na simba.
 
Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
Hakuna hiyo sheria acha kulishamatango pori wakubwa wenzako
 
Back
Top Bottom