Naomba ufafanuzi kuhusu Yanga kuzuia kibali cha kazi cha Morrison

TFF wamesema mkataba una mapungufu lakini morison ni mchezaji huru
Matango pori yapi kwa mfano?
Hiyo sheria iko wapi? Ilete hapa tuisome tuielewe.
Unajua unapoleta hoja na kuelezea kitu watu wakitaka uthibitishe kinachotakiwa ni kuthibitisha na sio kuwaambia wakatafute wao.
Yanga wanadai wana mkataba na mchezaji na hilo hata ukisikiliza hukumu ya tff wamelisema na wakaenda mbele zaidi na kisema mkataba una mapungufu na arudishe pesa sasa huoni kwamba tff wamevunja mkataba ambao hawana hata uwezo wa kufanya hivo
 
Tusubiri cha senzo
Senzo kavunja mkataba kihalali kabisa. Wamekabidhiana ofisi, sasa kibali unakizuia cha nini? Senzo si mwajiriwa wa Simba tena, hivyo aweza hata kurudi kwao na Simba hawana uwezo wa kumfungulia kesi. Morrison? Bado ana mgogoro wa kimkataba, hivyo anatakiwa awe mpole.
 
Kwa akili zako unadhani Yanga wanamtaka Morisson achezee timu yao? Wanataka fedha, tumempa exposure akapata timu Kuwait signing fee $100,000. Angeacha $50,000 Yanga wangemuachia. Kanjibai atatupa hela ya kuchukua kifaa dirisha dogo.
We subiri.
View attachment 1548783
Kwa akili hizi ndio maana viongozi watazidi kuwa ona pompoma, leo tena kocha mliyeaminishwa anatua ijumaa, hayupo tena!! Hilo la morrison kutakiwa nchini Kuwait, ndio limeibuka sasa?!! Yanga wanataka wachezaji kumi ktk usajiri, hamuwezi jiuliza inakuwaje mbona watakuwa 11?!ni suala la muda muda tu, ila nyie endeleeni na kesi huko, ila jamaa ataendelea kucheza hadi ije vingenevyo!!! Eti dola laki moja!!!
 
Senzo kavunja mkataba kihalali kabisa. Wamekabidhiana ofisi, sasa kibali unakizuia cha nini? Senzo si mwajiriwa wa Simba tena, hivyo aweza hata kurudi kwao na Simba hawana uwezo wa kumfungulia kesi. Morrison? Bado ana mgogoro wa kimkataba, hivyo anatakiwa awe mpole.
Awe mpole vipi? Tff ndio wasimamizi wa mpira, wameshasema yupo huru, wao ndio wataiandikia uhamiaji/idara ya kazi kuwa huyo ni mchezaji halali wa simba, kama yale maagizo ya kurudisha ile pesa ya yanga tayari morrison ameshayafanya, hata yanga wakikataa kutoa hicho kibali, kitabatirishwa na kutolewa kingine. Kwa mamlaka ya kisheria hapa nchini hilo limeshamalizika,
 
TFF waliamua kesi ipi kwani? Hoja ya mwajiriwa wa Yanga Morrison, "sikuwahi kusaini fomu za usajili za Yanga." Kesi iliyokuwepo mezani, kugushi sahihi. Hukumu ya tifutifu? Sahihi ni ya Morrison ila kuna makosa kidogo kwenye tarehe ya mkataba!! Kwani soka la Tanzania nalo lina viongozi!?
 
Duh, kazi ipo HAKI YA MUNGU
 
Kwa akili hizi ndio maana viongozi watazidi kuwa ona pompoma, leo tena kocha mliyeaminishwa anatua ijumaa, hayupo tena!! Hilo la morrison kutakiwa nchini Kuwait, ndio limeibuka sasa?!! Yanga wanataka wachezaji kumi ktk usajiri, hamuwezi jiuliza inakuwaje mbona watakuwa 11?!ni suala la muda muda tu, ila nyie endeleeni na kesi huko, ila jamaa ataendelea kucheza hadi ije vingenevyo!!! Eti dola laki moja!!!
Mbona swala la kocha limetowela ufafanuzi na limeeleweka mkuu au shida yako nini?
Yanga mpaka sasa wana wachezaji 8 wa kigeni na kwenye system yao wamemjumlisha na morrison ko jumla 9
Na kwa taarifa zilizopo hapo yanga ndo washamaliza usajili labda atokee tu mmoja wakuongezwa
 
Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
Umemaliza kila kitu mkuu!
 
Kubali cha mgeni kufanya kazi tanzania,huombwa na mtu au kampuni inayomtaka mtu huyo idara ya kazi,na idara ya kazi wakikubali,wanawaandikia uhamiaji ili wampe huyo mtu kibali cha kuishi na kufanya kazi,sasa hiyo kampuni au mtu anaweza kuwaarifu idara ya kazi kuwa hawamuihitaji huyo mtu,na idara ya uhamiaji,inaweza kumuondoa mtu huyo,sasa morrison anaweza kuombewa kibali na simba,na wanaohusika wakiona ni sawa wanampa kibali
Yanga ndio wanao julikana na mamlaka...any issue violeted in the country by Morrisson Yanga will be answerable...!!

Yanga mpaka waka mkane Morrisson kuwa sio wao.....!! na wanatakiwa waka update kibari cha kuendelea kuishi...udanii wa tff na the lest ndio unacost soccer la bongo.

Yanga walikuwa sahihi kila idara....Simba alitakiwa kuwa banned....mkataba wa.Morrison na Yanga unamaoungufu but hii i justify kuwa mchezaji wa Simba.

Walitakiwa walegulate na simba waongee na Yanga kama mwajiri wa Morrison ili wa mnunue hizi janjajanja za soccer letu ndio shida.

Kila mtu mtoto wa mjini. Ndio maana hukumu ilichukuwa siku kadhaa tff wengi ni simba...

Ila Jmaaa anakibari cha kukipiga kimataifa yanga mpaka fifa.

Ni ujinga na ubabaishaji wa tff
 
Ule mkataba ulisainiwa toka mwezi march na ukawekwa kwenye system tff wakauona na wakaukaushia tu.
Sasa juzi inakuaje wanaibuka kua mkataba una makosa?
Je tff ana haki ya kuvunja mkataba kisa unamapungufu?
Hakuna mkataba uliyowekwa kwenye system, ingekua huvyo TFF wangekua na copy ya mkataba. Nyie manyani mnadanganywa hata hamjiongezi
 
Nyani aka mbwa fc kweli mnaakili za kimbwa mbwa.mnabweka sana na kupiga makelele kama nyani aliye kwenye joto. Kwa mujibu wa aliyekuwa kocha wenu LUC EYMAEL. Hivi mnaamini mnaweza kuja mpata Morrison? Inawezekana wote nyie mkawa uneducated kiasi hicho? Kama alivyosema LUC EYMAEL? MORRISON TUNAJUA AMEWAUMIZA SANA ,BADO ANAWATESA ILA HAWEZI KUJA CHEZEA YANGA HATA MFANYEJE. YULE ATACHEZEA SIMBA TU.🐒🐒🐒🐒🐕🐕🐕🐕

Shauri kikiisha salama, Yanga wanatakiwa kuitoa na barua ya no objection. Hapo Mikiamuombe poo.
 
Bob unaweza lugha gani? Kiswahili hujui ,kiingereza hujui. Tumia lugha unayoweza please. Ueleweke. Unaandika kama Nyani.

Yanga ndio wanao julikana na mamlaka...any issue violeted in the country by Morrisson Yanga will be answerable...!!

Yanga mpaka waka mkane Morrisson kuwa sio wao.....!! na wanatakiwa waka update kibari cha kuendelea kuishi...udanii wa tff na the lest ndio unacost soccer la bongo.

Yanga walikuwa sahihi kila idara....Simba alitakiwa kuwa banned....mkataba wa.Morrison na Yanga unamaoungufu but hii i justify kuwa mchezaji wa Simba.

Walitakiwa walegulate na simba waongee na Yanga kama mwajiri wa Morrison ili wa mnunue hizi janjajanja za soccer letu ndio shida.

Kila mtu mtoto wa mjini. Ndio maana hukumu ilichukuwa siku kadhaa tff wengi ni simba...

Ila Jmaaa anakibari cha kukipiga kimataifa yanga mpaka fifa.

Ni ujinga na ubabaishaji wa tff
 
Msolwa alisema Yanga inahitaji wachezaji wawili wa nje ,tayari wanao 10,na tayari wanao wachezaji 8 wa kigeni,basi kama ni hivo pamoja na Morison ni wachezaji 11,sasa nikuulize wachezaji wa kigeni wako 8,msolwa amesema bado wawili ina maana jumla wapo 8,nijibu wachezaji wa kigeni waliosajiliwa na Yanga hadi sasa ni wangapi ?
Mbona swala la kocha limetowela ufafanuzi na limeeleweka mkuu au shida yako nini?
Yanga mpaka sasa wana wachezaji 8 wa kigeni na kwenye system yao wamemjumlisha na morrison ko jumla 9
Na kwa taarifa zilizopo hapo yanga ndo washamaliza usajili labda atokee tu mmoja wakuongezwa
 
We uko gizani kabisa hata hujui unachoongea
Yanga ndio wanao julikana na mamlaka...any issue violeted in the country by Morrisson Yanga will be answerable...!!

Yanga mpaka waka mkane Morrisson kuwa sio wao.....!! na wanatakiwa waka update kibari cha kuendelea kuishi...udanii wa tff na the lest ndio unacost soccer la bongo.

Yanga walikuwa sahihi kila idara....Simba alitakiwa kuwa banned....mkataba wa.Morrison na Yanga unamaoungufu but hii i justify kuwa mchezaji wa Simba.

Walitakiwa walegulate na simba waongee na Yanga kama mwajiri wa Morrison ili wa mnunue hizi janjajanja za soccer letu ndio shida.

Kila mtu mtoto wa mjini. Ndio maana hukumu ilichukuwa siku kadhaa tff wengi ni simba...

Ila Jmaaa anakibari cha kukipiga kimataifa yanga mpaka fifa.

Ni ujinga na ubabaishaji wa tff
 
Msolwa alisema Yanga inahitaji wachezaji wawili wa nje ,tayari wanao 10,na tayari wanao wachezaji 8 wa kigeni,basi kama ni hivo pamoja na Morison ni wachezaji 11,sasa nikuulize wachezaji wa kigeni wako 8,msolwa amesema bado wawili ina maana jumla wapo 8,nijibu wachezaji wa kigeni waliosajiliwa na Yanga hadi sasa ni wangapi ?
Wako 8
Unapoongelea msolla jua unaongelea mtu ambaye siku ile alikurupuka kuongea vile maana na Eng. Hersi alikuja kumpinga.
Na Yanga usajili ndo ushaishia hapo akiongezeka ni mmoja tu.
 
Kwenye hao 8 morison yupo ?
Wako 8
Unapoongelea msolla jua unaongelea mtu ambaye siku ile alikurupuka kuongea vile maana na Eng. Hersi alikuja kumpinga.
Na Yanga usajili ndo ushaishia hapo akiongezeka ni mmoja tu.
 
Nyani aka mbwa fc kweli mnaakili za kimbwa mbwa.mnabweka sana na kupiga makelele kama nyani aliye kwenye joto. Kwa mujibu wa aliyekuwa kocha wenu LUC EYMAEL. Hivi mnaamini mnaweza kuja mpata Morrison? Inawezekana wote nyie mkawa uneducated kiasi hicho? Kama alivyosema LUC EYMAEL? MORRISON TUNAJUA AMEWAUMIZA SANA ,BADO ANAWATESA ILA HAWEZI KUJA CHEZEA YANGA HATA MFANYEJE. YULE ATACHEZEA SIMBA TU.🐒🐒🐒🐒🐕🐕🐕🐕
Hatutaki aje ila haki itendeke na Mikia FC waje mezani tuwape dau.
 
Back
Top Bottom