steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Kma wamekata rufaa huku kukiwa kulishatolewa maamuzi inamaana till now Morrison Ni mshindi hawakutakiwa kushikilia kibariYanga wemekata rufaaa.
So simply yanga wanajisumbuaKubali cha mgeni kufanya kazi tanzania,huombwa na mtu au kampuni inayomtaka mtu huyo idara ya kazi,na idara ya ka,i wakikubali,wanawaandikia uhamiaji ili wampe huyo mtu kibali cha kuishi na kufanya kazi,sasa hiyo kampuni au mtu anaweza kuwaarifu idara ya kazi kuwa hawamuihitaji huyo mtu,na idara ya uhamiaji,inaweza kumuondoa mtu huyo,sasa morrison anaweza kuombewa kibali na simba,na wanaohusika wakiona ni sawa wanamoa kibali
Hawawezi kupewa kingine mpaka gogoro liishe. Atanyooka tu.Cha msingi hicho kibali chake tumeshakichana-chana fanyeni mkamuombee kibali kingine.
Unauliza na kujijibu.Kma wamekata rufaa huku kukiwa kulishatolewa maamuzi inamaana till now Morrison Ni mshindi hawakutakiwa kushikilia kibari
Kawaida kibali cha kazi hutolewa kwa kufanya kazi kwa kampuni/taasisi mahsusi. Mtu akipewa kibali cha miaka 3 cha kufanya kazi katika kampuni A halafu mwaka wa pili akata kwenda kufanya kazi kampuni B, hawezi kuhama na kibali cha awali. Itambidi aondoke nchini kisha aombe upya kibali cha kufanya kampuni B.Yanga wemekata rufaaa.
Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.Hawawezi kupewa kingine mpaka gogoro liishe. Atanyooka tu.
Hakuna ulazima wa kuondoka kwanza nchini, kinachofanyika ni huyo muajiri wake mpya kwenda kubadirisha kibali, kama anatimiza vigezo vyote vilivyowekwa kwenye aina hiyo ya kibali.Kawaida kibali cha kazi hutolewa kwa kufanya kazi kwa kampuni/taasisi mahsusi. Mtu akipewa kibali cha miaka 3 cha kufanya kazi katika kampuni A halafu mwaka wa pili akata kwenda kufanya kazi kampuni B, hawezi kuhama na kibali cha awali. Itambidi aondoke nchini kisha aombe upya kibali cha kufanya kampuni B.
Naona umecopy ya magori umekuja kupaste huku.Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
Magori yupi?!!!! Kwani hili sakata la morison ndio la kwanza kutokea duniani? Jifunze kupinga hoja kwa hoja na sio mipasho, katafute nini maana ya FIFA PROVISIONAL PERMIT "ndio utaelewa!! Kwa akili hizo ndio maana viongozi wenu simba/yanga wanawalisha matango poli ili kuwafurahisha tu. Eti umzuie mchezaji kucheza kisa una mgogoro naye!!! Wazungu waliliona hilo kwani wanafahamu roho mbaya za mwafrika.Naona umecopy ya magori umekuja kupaste huku.
Hebu icopy hiyo sheria uipaste hapa tuione
Matango pori yapi kwa mfano?Magori yupi?!!!! Kwani hili sakata la morison ndio la kwanza kutokea duniani? Jifunze kupinga hoja kwa hoja na sio mipasho, katafute nini maana ya FIFA PROVISIONAL PERMIT "ndio utaelewa!! Kwa akili hizo ndio maana viongozi wenu simba/yanga wanawalisha matango poli ili kuwafurahisha tu. Eti umzuie mchezaji kucheza kisa una mgogoro naye!!! Wazungu waliliona hilo kwani wanafahamu roho mbaya za mwafrika.
Uhamiaji wanatoa residence permit baada ya kupata work permit toka Labour. Hivyo kama anaendelea Simba itahitajika barua ya no objection toka Yanga, siyo walazimishwa kwa kuwa wao ndo waliomuombea kibali. Usikariri maneno ya Magori msanii tu.Unajua sheria za uhamiaji wewe?!! Kwa mjibu wa mamlaka ya soka tz, ni kuwa morison yupo huru, hadi sasa hadi hiyo rufaa itakavyosema vingine, Yanga wataamliwa kupeleka kibali hicho, idara ya kazi, na hata sasa wametakiwa kufanya hivyo, kama wakiendelea kubisha kinachoweza kufanyika ni hicho kibali kukibatirisha na idara ya kazi ikatoa kingine, mchezo unaisha!!! Na hata kesi kama inaendelea fifa kuna kanuni iayompa mchezaji kipaumbele kuendelea kucheza mpira, na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga. Fanyeni mambo mengine hili limeshakwisha hao viongozi wenu wanawatia ujinga tu, ila ukweli wanaufahamu. Tff, ndio watakao iambia idara ya kazi kuwa mchezaji ni mali ya simba, na kibali kitatoka tu.
Hii aliifanya senzo baada ya kumalizana na simba aliondoka nchini kurudi kwao south Africa, ndio karudi tena majuzi yanga wakamuombea kibaliKawaida kibali cha kazi hutolewa kwa kufanya kazi kwa kampuni/taasisi mahsusi. Mtu akipewa kibali cha miaka 3 cha kufanya kazi katika kampuni A halafu mwaka wa pili akata kwenda kufanya kazi kampuni B, hawezi kuhama na kibali cha awali. Itambidi aondoke nchini kisha aombe upya kibali cha kufanya kampuni B.
Kwa akili zako unadhani Yanga wanamtaka Morisson achezee timu yao? Wanataka fedha, tumempa exposure akapata timu Kuwait signing fee $100,000. Angeacha $50,000 Yanga wangemuachia. Kanjibai atatupa hela ya kuchukua kifaa dirisha dogo.na mwisho wa siku hata yanga wakijashinda, watakachoambulia ni fidia kutoka kwa mchezaji na sio mchezaji kurudi yanga