Naomba ufafanuzi kuhusu Yanga kuzuia kibali cha kazi cha Morrison

Polen sana nyie mbwa. Kama mnategemea pesa za simba kutatulia matatizo yenu... MTATESEKA SANA. HAMPATI HATA THUMNI.... MLITULETEA MORRISON SISI TUMECHUKUA. AMEKUJA CHUO... NYIE ENDELEEANI KUBWEKA NA KUPIGA MAKELELE KAMA NYANI.πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ΅πŸ΅πŸ΅πŸ΅πŸ•πŸ•πŸ•πŸ•πŸ•πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hatutaki aje ila haki itendeke na Mikia FC waje mezani tuwape dau.
 
Kwa sababu uwezo wenu wa kufikiria umeishia hapo
 
Yanga hawajielewi inaonekana ujinga wao ni zaidi ya manyani ngoja wakimbilie huko ije kesi ya kushushwa daraja maana kuna viwakili uchwara vinapewa promo na magazeti yao vonawadanganya.
Kumbe hata Tshishimbi alikuwa na haki ya kuwafungulia kesi maana walimsaini wakamtema.
 
Yanga hawajielewi kabisa ,baadaye watakuja kulalamika tunabebwa wakati hadi sasa wanafukuzana na usajili
 
Wewe unaesema wapo 11 tutajie.
 
Kwani kwa sasa kibali cha Senzo anacho nani?
 
Hii aliifanya senzo baada ya kumalizana na simba aliondoka nchini kurudi kwao south Africa, ndio karudi tena majuzi yanga wakamuombea kibali
Acha uongo,
Nilikutana nae Dubai
 
Wakamuulize Mzee Kilomoni na ile mikaratasi yake aliishia wapi.
 
Ule mkataba ulisainiwa toka mwezi march na ukawekwa kwenye system tff wakauona na wakaukaushia tu.
Sasa juzi inakuaje wanaibuka kua mkataba una makosa?
Je tff ana haki ya kuvunja mkataba kisa unamapungufu?
System ya usajili wa tff haifunguki mda wote bali kwa kipind maalum cha usajili wa dirisha dogo la January na lile dirisha kubwa la August,

na mikataba yote ya wachezaji lazima imalizike dirisha dogo au kubwa ya usajili,

mkataba wa Morrison uliongizwa kwenye system ya usajili ni ule wa miezi sita kwa sababu alisajiliwa dirisha dogo la January, ila aliosaini mwezi wa tatu haukuingizwa kwenye system ya usajili kwa sababu mda wa kufungua usajili ulikuwa bado,

km unafatiria mpira kipind hiki cha Corona fifa ilitoa tangazo la wachezaji wote mikataba inaoisha mwezi sita kuongeza miezi miwili bure uku wakilipwa mishahara yao ili kuendana na msimu wa usajili wa dirisha kubwa.
 
Yanga hawawezi kumjumuisha Morrison kwenye usajili refer kwa hukum iliotoka kuwa ni mchezaji huru
 
Kaka ili sakata kuna mtu aliniambia kitu.....
Yeye Morrison aliwashitaki yanga tff kuwa hajasaini mkataba wa miaka miwili na hilo shauri likwa linaendelea tff mpk pale ilipotolewa hukum.

Lkn simba mpk wanafika hatua ya kumsajili Morrison wao hawakuangalia ule mkataba wa miaka miwili,ila wao simba walideal na ule wa miezi sita

Iko hivi dirisha dogo usajili la mwaka huu 2020 lilifungwa trh 15 January, na Morrison alifika Tanzania trh 17 January inamaana alifika nchini usajili ulishafungwa.

Na hakuna email au fax ya mkataba wa yanga waliomtumia Morrison asaini wakiwa uko kwao Ghana

Na Morrison alicheza mechi mbili bila mkataba ikiwa ile ya singida kombe la fa na ya hapa ligi kuu na ruvu shooting,

Morrison alisaini mkataba wake ule wa miezi sita trh 28 January

Mm na ww hatujua kilichofanyika kati yanga na tff kuingiza mkataba wa Morrison ule wa miezi sita trh 14 January 2020, wakati Morrison hajafika nchini na wala hakuna email wala fax ya mkataba aliotumia akiwa kwako Ghana.

Kamati kuchukua siku tatu za maamzi ilikuwa ni kusawazisha mambo kati ya yanga na tff, simba wao walidili na ule mkataba wa miezi sita kuwa Morrison aliingia Tz trh 17 ikiwa usajili ulishafungwa uku Morrison anasema yy hajasaini mkataba wa miaka miwili.
 
Acha uongo,
Nilikutana nae Dubai
Alipoenda simba kukabidhi vitu vya ofisi na kumalizana na uongozi, aliondoka nchini kwenda kwako

Yeye alisema anaenda kwao mie nikajua kaenda south Africa, km umekutana nae dubai ni sawa coz nilichokuwa namaanisha nikuondoka nchini baada ya kumalizana na simba.
 
Hakuna hiyo sheria acha kulishamatango pori wakubwa wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…