Naomba ufafanuzi kuhusu Yanga kuzuia kibali cha kazi cha Morrison

Yanga hawawezi kumjumuisha Morrison kwenye usajili refer kwa hukum iliotoka kuwa ni mchezaji huru
Hebu kisome kikosi kilichotoka leo cha wachezaji 28 uone kama morrison hayupo
 
Hebu kisome kikosi kilichotoka leo cha wachezaji 28 uone kama morrison hayupo
Wana watia ujinga tu washabiki!!! Subilia dirisha lifungwe, uone je tff, watariidhinisha?? Ili kutumwa fifa!!! Kitu kiko wazi ukishindwa kwenye kesi, maamuzi ya awali yanakuwa halali, hadi hapo itakavoamliwa vingine, na mamlaka ya juu yake. Nasema hivi Morrison hawezi tena kurudi kuichezea yanga never!! Vyovyote itakavyokuwa.
 
mi ninachojua morison hata ichezea yanga wala simba, atafungiwa
 
mi ninachojua morison hata ichezea yanga wala simba, atafungiwa
Kwani amesaini zaidi ya mala moja?!! Shirikisho la mpira wa miguu, limesha toa uamuzi kuwa yupo huru, na ndio maana simba wakamsajiri, kama CAS, wataamua vinginevyo basi atambulika kuwa bado ni mchezaji wa yanga, na kama yeye akisema kuwa kutokana na hali iliyopo hawezi rudi yanga, ataambiwa kulipa gharama za kuvunja mkataba, ili aendelee kucheza ana kokutaka.
 
Kweni kuna mtu kasema atarudi kucheza yanga?
Yanga wanachodai na wana mkataba nae na wanataka hata kama anaenda simba basi walipwe sio aende kienyeji.
 
ACHENI UJINGA ALIPEWA KIBALI KUCHEZEA YANGA SASA AICHEZEI AKAOMBE KIBALI LWAMAMAKE ACHEZEE SIMBA...IMEELEWEKA EEH
 
Ule mkataba ulisainiwa toka mwezi march na ukawekwa kwenye system tff wakauona na wakaukaushia tu.
Sasa juzi inakuaje wanaibuka kua mkataba una makosa?
Je tff ana haki ya kuvunja mkataba kisa unamapungufu?
Muwe mnajaribu kutumia japo akili kidogo!! Kwani bila Morrison kulalamika juu ya huo mkataba wa miaka 2,tff wangejua kuwa kulikuwa na matatizo? Kwenye mkataba wowote bila pande moja kulalamika kuwa huo mkataba, una mapungufu, hasa ya forgery, huo upande mwingine utajuaje,? Kwa hiyo tff hana mamlaka ya kuvunja mkataba wa wachezaji na timu kunapokuwa na tatizo la kimkataba? Sasa YANGA wamepewa siku tano warudishe kibali cha Morrison kwa aliyekitoa!!!
 
Kwahiyo unataka kusema tff hawajui mikataba ya wachezaji? Kwahiyo kwa maana hiyo kuna mchezaji anaweza kucheza bila mkataba?
 
Hebu kisome kikosi kilichotoka leo cha wachezaji 28 uone kama morrison hayupo
Angalia namba 25 ni namba ya kibali cha Morrison, namba ni ile ile aliokuwa anaitumia wakat akiwa yanga ila kilicho badirika ni mwajiri kutoka yanga wa zamani na kuwa wa sasa mwaajiri mpya ambae ni simba,
 
Yaan watu wanashindwa kuelewa kamati ina mamlaka makubwa kwenye mpira km ilivyo MAHAKAMA za kiraia, kamati imeshatoa hukum ata aje karia mwenye mpira wake hawezi kutengua, ila sisi mashabiki tunadanganywa km watt tunakubali, ata uko fifa wakienda cha zaid wanaweza kuwambulia fidia kutoka kwa Morrison, ambacho hela ya usajili alishairudisha na yanga alisha acha kumpa mshahala, na nashukuru umemjibu vzr
 
mi ninachojua morison hata ichezea yanga wala simba, atafungiwa
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] ndugu yangu acha kushabikia timu, nakuomba kuanzia leo anza kushabikia mpira, ukizipenda hizi timu za kkoo kwa mahaba yote utaumia sana, mda ndio hakimu wa kila kitu, tuzidi kumuomba MUNGU jamii forum hizidi kuweko tuwe tunakutana hapa hapa kwenye kilinge chetu cha sports, tuone Morrison atacheza mpira au lah?
 
Kwahiyo unataka kusema tff hawajui mikataba ya wachezaji? Kwahiyo kwa maana hiyo kuna mchezaji anaweza kucheza bila mkataba?
Mkataba ni makubaliano ya pande mbili kati ya mwaajili na mwaajiliwa [vilabu na wachezaji], tff anabaki kuwa mtazamaji na hana mamlaka ya kuvunja mkataba, ila tff akipelekewa copy ya mkataba yy anaangali vile vipengele muhimu vimezingatiwa km finger print ya mchezaji ipo, trh ya kuanza na kuisha kwa mkataba,mshahala na sign fees km vipo
 
Kwahiyo kama tff ni mtazamaji ina maana toka mwezi wa 3 mpaka wa 7 walikua bado hawajagundua mapungufu kwenye mkataba wa morrison mpaka alipolalamika?
 
Kwahiyo unataka kusema tff hawajui mikataba ya wachezaji? Kwahiyo kwa maana hiyo kuna mchezaji anaweza kucheza bila mkataba?
Kila mkataba wa mchezaji wa mpira wa miguu, tz, tff ndio msimamizi wake, na ndio muidhinishaji, mnaposainishana huko, lazima mkataba mwingine upelekwe tff, sasa kwa inshu ya TZ, Unakuta mkataba unaopelekwa huko na ule alionao mchezaji ni tofauti, refer sakata la singano na simba, tff wao wakiona kimya wanajua hakuna shida, sasa inapotokea tatizo hasa la forgery, ndio itabidi waangalie nakala zote tatu, za mkataba. Unakuta zinatofautiana!! Na kumbe hata ule uliopelekwa kwao, unatofautiana na ule alionao mchezaji, kuna nini hapo? Na mala nyingi ni kwenye muda wa mkataba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…