Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

Haya majiko nina miaka zaidi ya 15 natumia ni majikonswafi sana yanatumia units kidogo natumia umeme wa elf 9 na ninapika kila siku
Unatumia umeme wa elfu 9 kwa muda gani?maana tumeambiwa yanalamba unit 2 kila baada ya saa 1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…