Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Aisee..🤣 🤣 🤣 🤣 😀 halitawaka kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..🤣 🤣 🤣 🤣 😀 halitawaka kabisa
Vipi nikiweka umeme wa solar maalum kwa ajili ya hayo majiko tu, sababu huwa nafikiria kuhamia huko hofu ni ulaji wa umemeukipika kwa moto wa juu kabisa, linalamba takriban units 2 za umeme kila lisaa
nayapendea hakuna joto wala moshi wala kuungua
moto wa juu jiko linavuta 2000W za umemeVipi nikiweka umeme wa solar maalum kwa ajili ya hayo majiko tu, sababu huwa nafikiria kuhamia huko hofu ni ulaji wa umeme
Hata aluminum zinatumikaaluminium hazifai, kwanza jiko halitawaka
hizi ndiyo zinafaa
![]()
ORIGINAL INDUCTION COOKWARE| Kupatana.com
Kaisa villa stainless induction cookware set 12pcs. Stainless steel Induction and bakelite handle K gold plate handle 12 pcs. Set Induction bott ...kupatana.com
uyo ni injiniya.ni musom mashuhuliMzee wa kujichukulia sheria mkononi kumbe mbali ya kuwa mwenyekiti wetu pia una uelewa na mambo mengine
siyo induction hiyoHata aluminum zinatumika
zile zenye mistari mistari kwenye base (tako) lakeKwa hiyo yanasufuria zake maalum?
Mkuranga hamna shida ya umemeni mazuri sana
sema uwe eneo ambalo halina tatizo la umeme mdogo
Aiseee, ngoja tusubiri solar city kama ya elon musk kule texasmoto wa juu jiko linavuta 2000W za umeme
solar ya kutoa hiyo Watts aisee, ujipange
KitakaajeVipi ukitumia vyungu vya kufinyanga
MadukaniYanapatika wapi mkuu
Ukichemsha maziwa, yakichemka hayamwagiki.Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa? View attachment 2675256
Hapa ni chuma tu kinatakiwa maana yanatumia Magnetic Induction kutoa jotoVipi ukitumia vyungu vya kufinyanga
You made my day..nimecheka sanaAcha kuiga wewee. Tumia la mkaa.
Nilikuwa namtania tu jamaa yangu dronedrakeHapa ni chuma tu kinatakiwa maana yanatumia Magnetic Induction kutoa joto
Unatumia umeme wa elfu 9 kwa muda gani?maana tumeambiwa yanalamba unit 2 kila baada ya saa 1?Haya majiko nina miaka zaidi ya 15 natumia ni majikonswafi sana yanatumia units kidogo natumia umeme wa elf 9 na ninapika kila siku