Hakuna kimfaacho mnyonge ww endela kutumia kuni pumba za mbao na gas ndogoInasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa? View attachment 2675256
Tofauti na majiko mengine ni kwamba haya yanapika kwa process ya magnetic induction inayozalisha eddy currents ambayo effect yake ni kupasha sufurua ya chuma moto na sio heating coil ambayo inatumika kwenye majiko mengineYanaitwaje ukiacha hiyo induction yanatofautianaje na mengine
Nataka kununua gesi naona fitting zake kwa nyumba zetu ntakuja kuchoma familia kama ...Ile kuunga sana na hawa wataalamu wa wetu naona hatari nilifikria induction ni cheap maana niliulizia plates mbli nikaambiwa 130k ni bei ndogo sana.Induction
Tek ya zamani ila sababu ya umasikini na ushamba ndo waiona mpyaHii ni mpya, inatokeaje hii ni tejnolojia mpya
Sio mpya ni technology ya muda sema kwa sasa yamekua common, mi nnalo zaidi ya miaka 10 natumiaHii ni mpya, inatokeaje hii ni tejnolojia mpya
AmazingTofauti na majiko mengine ni kwamba haya yanapika kwa process ya magnetic induction inayozalisha eddy currents ambayo effect yake ni kupasha sufurua ya chuma moto na sio heating coil ambayo inatumika kwenye majiko mengine
Acha kutumia mkaa, we nunua gesi hazina mambo mengi na ka ajali nadhani ni 1/1000000Nataka kununua gesi naona fitting zake kwa nyumba zetu ntakuja kuchoma familia kama ...Ile kuunga sana na hawa wataalamu wa wetu naona hatari nilifikria induction ni cheap maana niliulizia plates mbli nikaambiwa 130k ni bei ndogo sana.
Ipo siku sana mbona. Nlianza na la plate moja tena nilikuwa nayauza nimeuza sana haya majiko. Baadae nikanunua la plate 2 sema yana bei kidogo ni laki 3.5 hadi 4 na plate moja ni laki 1.5 hadi 2 kutegemeana na ubora wa jiko.Hii ni mpya, inatokeaje hii ni tejnolojia mpya
Asante sana mkuu umenifungua akili, so consuption ya umeme ipojeSio mpya ni technology ya muda sema kwa sasa yamekua common, mi nnalo zaidi ya miaka 10 natumia
Gharama ya hili jiko ni chini ya gass na mkaaaNataka kununua gesi naona fitting zake kwa nyumba zetu ntakuja kuchoma familia kama ...Ile kuunga sana na hawa wataalamu wa wetu naona hatari nilifikria induction ni cheap maana niliulizia plates mbli nikaambiwa 130k ni bei ndogo sana.
Mkaa hata bei sijui ila fitting za gesi zinanipa wasiwasi kwa familia kwa hamna watoto wanatumia ila pakiwa na watoto ndo nafikria maana zinazlvyoungwa ni hatari na mtungi ukiweka kwa nje watu wanatembea nao.Acha kutumia mkaa, we nunua gesi hazina mambo mengi na ka ajali nadhani ni 1/1000000
Mkaa sijui hata bei natumia gesi na la umeme ...Mkaa labda mara ya mwisho kujua bei yake naona ilikuwa 2015..Gharama ya hili jiko ni chini ya gass na mkaaa
Ndio maana namimi nikauliza maana niliona kama haiwezekaniTufanye anapika kwa masaa 3 kila siku, kwa mwezi ni Unit 180 ambazo tayari zimezidi alichosema yeye.
Umeme wa 9000 kwa wasiojua maana ya umeme wanapata unit 70-90
Consumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yakeAsante sana mkuu umenifungua akili, so consuption ya umeme ipoje
Many thanksConsumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yake
Kumbe waongo?au wanatumia majiko tofauti,la kwako linatumia umeme kiasi gani?Waongo hata sasa nachemsha maji ya kuoga
Zile pipes zinakaba sana hazivujishiMkaa hata bei sijui ila fitting za gesi zinanipa wasiwasi kwa familia kwa hamna watoto wanatumia ila pakiwa na watoto ndo nafikria maana zinazlvyoungwa ni hatari na mtungi ukiweka kwa nje watu wanatembea nao.
Natumia yale yenye plate nne moja ni umeme na napendelea sana kutumia maana gesi ni hatari kwa fitting zake .
Aisee,mbona ni rahisi sanaMwezi mkuu