Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

Yanaitwaje ukiacha hiyo induction yanatofautianaje na mengine
Tofauti na majiko mengine ni kwamba haya yanapika kwa process ya magnetic induction inayozalisha eddy currents ambayo effect yake ni kupasha sufurua ya chuma moto na sio heating coil ambayo inatumika kwenye majiko mengine
JPEG_20230701_203843_4490829669370526663.jpg
 
Tofauti na majiko mengine ni kwamba haya yanapika kwa process ya magnetic induction inayozalisha eddy currents ambayo effect yake ni kupasha sufurua ya chuma moto na sio heating coil ambayo inatumika kwenye majiko mengine
Amazing
 
Nataka kununua gesi naona fitting zake kwa nyumba zetu ntakuja kuchoma familia kama ...Ile kuunga sana na hawa wataalamu wa wetu naona hatari nilifikria induction ni cheap maana niliulizia plates mbli nikaambiwa 130k ni bei ndogo sana.
Acha kutumia mkaa, we nunua gesi hazina mambo mengi na ka ajali nadhani ni 1/1000000
 
Hii ni mpya, inatokeaje hii ni tejnolojia mpya
Ipo siku sana mbona. Nlianza na la plate moja tena nilikuwa nayauza nimeuza sana haya majiko. Baadae nikanunua la plate 2 sema yana bei kidogo ni laki 3.5 hadi 4 na plate moja ni laki 1.5 hadi 2 kutegemeana na ubora wa jiko.
Yanachoma chakula na sio sufuria, hata ukiweka sufuria likajaa kimiminika nusu kwa kusimama, ile nusu tu yenye kimiminika ndo itapata joto ila upande mmoja wa sufuria utakua wa baridi
 
Nataka kununua gesi naona fitting zake kwa nyumba zetu ntakuja kuchoma familia kama ...Ile kuunga sana na hawa wataalamu wa wetu naona hatari nilifikria induction ni cheap maana niliulizia plates mbli nikaambiwa 130k ni bei ndogo sana.
Gharama ya hili jiko ni chini ya gass na mkaaa
 
Acha kutumia mkaa, we nunua gesi hazina mambo mengi na ka ajali nadhani ni 1/1000000
Mkaa hata bei sijui ila fitting za gesi zinanipa wasiwasi kwa familia kwa hamna watoto wanatumia ila pakiwa na watoto ndo nafikria maana zinazlvyoungwa ni hatari na mtungi ukiweka kwa nje watu wanatembea nao.

Natumia yale yenye plate nne moja ni umeme na napendelea sana kutumia maana gesi ni hatari kwa fitting zake .
 
Tufanye anapika kwa masaa 3 kila siku, kwa mwezi ni Unit 180 ambazo tayari zimezidi alichosema yeye.
Umeme wa 9000 kwa wasiojua maana ya umeme wanapata unit 70-90
Ndio maana namimi nikauliza maana niliona kama haiwezekani
 
Asante sana mkuu umenifungua akili, so consuption ya umeme ipoje
Consumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yake
 
Many thanks
 
Mkaa hata bei sijui ila fitting za gesi zinanipa wasiwasi kwa familia kwa hamna watoto wanatumia ila pakiwa na watoto ndo nafikria maana zinazlvyoungwa ni hatari na mtungi ukiweka kwa nje watu wanatembea nao.

Natumia yale yenye plate nne moja ni umeme na napendelea sana kutumia maana gesi ni hatari kwa fitting zake .
Zile pipes zinakaba sana hazivujishi
 
Back
Top Bottom