Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Nionyeshe neno moja tu kwenye quran ambalo ni stupid? Ila angalia mtunzi wa biblia yenu anavyojochanganya mara mungu wapo watatu , mara mungu kazaliwa mara pombe inaruhusiwa yani hata nyie wenyewe wakristo mmevhanganyikiwa hamjui kipi sahihi, haya sasahivi kiongozi wenu papa amesema ushoga ni ruksa , maji na mafuta siku zote hujitenga sasahivi kanisa limeshapoteza muelekeo
 
Ila ndio makao makuu ya uislamu sio?

Na ndio wanaoujua uislamu vizur kuliko wewe mswahili sio??
KSA ni nchi miongoni mwa nchi za kiislamu, wala sio wasemaji wala wasimamizi wa uislamu, ni watu wenye kupenda kheri tu, kauli yao huchukuliwa na kurudishwa, na hadithi za mtume swala na salaam ziwe juu yake, hazijaandikwa miaka 280 iliyopita, bali miaka 1000+ iliyopita.
 
Sasa tumwamini nani, wewe mswahili uliyeletewa dini na mashua au yeye muislamu original kabisa na mweny historia yote sahihi kuhusu mtume?
 
Sasa tumwamini nani, wewe mswahili uliyeletewa dini na mashua au yeye muislamu original kabisa na mweny historia yote sahihi kuhusu mtume?
Uislamu muongozo wetu ni quran mkuu hatunaga papa kama nyie na sasahivi papa ameshawaruhusu mambo ya LGBT shetani ana mbinu sana hapo ndio utajua dini ya shetani ipi na mungu ipi
 
Uislamu muongozo wetu ni quran mkuu hatunaga papa kama nyie na sasahivi papa ameshawaruhusu mambo ya LGBT shetani ana mbinu sana hapo ndio utajua dini ya shetani ipi na mungu ipi
Papa sio kiongozi wa ukristo.

Kama wewe unavosema mnaongozwa na quran na sisi tunaongozwa na biblia(inachekesha jinsi gani mnavozidi kuiga ukristo kila siku, mmeacha kuwaiga Jews sikuiz).

Papa na Roman catholic church wana maovu yao mengi tuu, muda hautoshi kuyazungumzia, kimsingi ni kwamba tukubaliane tuu, ukitaka kuujua uislamu soma quran na ukitaka kuujua ukristo soma biblia, lakini nyie kuna waumini wa kiislamu wanafanya waarabu miungu watu na kama tuu sisi tuna wakristo hawajui maandiko vizur wanawatukuza sana wayahudi.

Yaan brother kimsingi ni kwamba asaiv kila dini imechafukwa, sio tuu ukristo mzee

Huyu ni papa na grand mufti wa Egypt wakipigana busu, kwaio usiwe unaongea mambo bila kuchunguza huko kwako uko salama. Umeelewa mzee?
 
Catholic ndio dhehebu kubwa duniani na hata hapa tanzania, na papa ndio kiongozi wao sasa hapo unabisha nini? Waislamu muongozo wetu ni quraan tu hatuna kiongozi wa dhehebu sisi
 
Hadith zimekusanywa miaka 200+ baada ya kifo Cha mtume,na nikikuambia unipe Hadith kumi za Abu bakri na ummar ambao walikua na mtume kipindi kirefu,utahaha kunipa,nikiomba ya Bilal ndiyo huna kabisa,hadithi ni uzushi hata Kama Kuna sayansi yake
Hapana mkuu, miaka 200 si uandishi wa Hadithi bali ni kuzijumuisha, Bukhari na Muslim na wakusanyaji wengine kazi yao ni kuchukua Vitabu ambavyo vilikuwepo na kuviunganisha kuwa kitabu kimoja for future generations. Kabla ya kina Bukhari na Muslim kulikua na vitabu Vingi tu, mfano Maimamu wanne walikua na Vitabu vyao na Kina Bukhari walisoma kwao. Mifano ya baadhi ya vitabu vya Hadith kuanzia miaka 16 tu baada ya Hijra, bado kipindi cha Makhalifa.


  1. Majmoah Saʽd ibn ʽUbadah (d. 16 AH)
  2. Majmoah Abd Allah ibn Mas'ud (d. 32 AH)
  3. Nuskha lil Imam Ali (d. 40 AH)
  4. Maktobat lil Amr ibn Hazm (d. 51 AH)
  5. Risaalah Samura ibn Jundab (d. 54 AH)
  6. Sahifah al-Sadiqah lil Abd Allah ibn Amr ibn al-As (d. 65 AH)
  7. Sahifah Jabir ibn Abd Allah (d. 74 AH)
  8. Majmoah Bashir Ibn Nahik (d. 91 AH)
  9. Sahifah Anas ibn Malik (d. 93 AH)
  10. Riwayaat ul Aisha lil Urwa ibn al-Zubayr (d. 94 AH)
  11. Riwayaat ul Ibn Abbas from Sa'id ibn Jubayr (d. 96 AH)
Kutokea Vitabu hivyo vya zamani ndio kina Bukhari wakatokea na ku grade kutokana na elimu zao.

Abu bakar ana Hadithi zaidi ya 142 na Bukhari na Muslim kama Sijakosea zipo zaidi ya 10.
 
Catholic ndio dhehebu kubwa duniani na hata hapa tanzania, na papa ndio kiongozi wao sasa hapo unabisha nini? Waislamu muongozo wetu ni quraan tu hatuna kiongozi wa dhehebu sisi
Kiongozi wa domination sio kiongozi wa dini brother, usiforce kuamini uongo, hata kama ndio dhehebu kubwa na tajiri kuliko yote haimaanishi yeye ndo kiongozi wa ukristo, mbona inaeleweka brother au hutaki tuu kuamini, hata BBC ikitangaza wanasema kiongozi wa katoliki sio wakristo, na nyie hao grand mufti sio viongozi wenu??
 
Uislamu ni dini ya ajabu kuwahi kutokea ni laana ya dunia ...wanawaza kukataana vichwa tu ...kulipua na ujinga mwingine mwingi
 
Hiyo lugha ndo inawafanya waislamu kuwa madhalili na dini yenu kuchukiwa.Hebu tuseme.ukweli,kwa tabia hii ya chuki uliyonayo kwa wasio waislam kuna asie kuwa muislam anaweza kukuiga wewe matendo yako na kuwa muislam?
 
Hiyo lugha ndo inawafanya waislamu kuwa madhalili na dini yenu kuchukiwa.Hebu tuseme.ukweli,kwa tabia hii ya chuki uliyonayo kwa wasio waislam kuna asie kuwa muislam anaweza kukuiga wewe matendo yako na kuwa muislam?
Hakuna muislamu mwenye chuki na mtu yoyote , duniani kote waislamu wanajulikana tabia zao, huwa hatuweki chuki kwenye mioyo yetu, angalia leo tu zaidi ya post 4 humu jf za kukashifu uislamu tu, sasa hapo nani mwenye chuki?
 
Sa we unakwepa swali langu wapi Allah kasema yeye ni shetani?

Afu unaleta story nyingine wacha nikufahamishe hivi Mungu angemuingiza motoni shetani moja kwa moja basi hi dunia ingekuwa haina tena mtihani.

Kupimwa kwa Iman lazima awepo shetani mwenye nguvu ili kukupoteza na kwenda peponi.lazima umshinde huyo shetani.

Mungu katuleta hapa duniani sikuja kula bata afu tukifa tunaenda peponi, pepo inataka juhudu kila mlimaji atavuna alichopanda.
 
Kukariri kiarabu na kukijua kiarabu ni vitu viwili tofauti.. Kuna mtu amekariri Koran lakini mkitizama mpira channel za arabuni haelewi kitu
Sa we dogo umefahamu nilicho ongea, nimesema anaye ifahamu Qur'an haswa, lazima akifahamu kiarabu, hao wanaokariri nawalio hifadhi na kuifahamu Qur'an ni vitu viwili tofauti.

We ndio wale mlie ota kumuona Yesu mnadhani mmemuona live haha 😄

Afu huyo mtume wenu Paulo nani kampa utume mbona hamjibu? Na kitabu kipi alikuja nacho 🤪
 
Siku sio nyingi atakuja awaambie kula ngurue a.k.a kitimoto sio dhambi
 
Wajua kuwa Uislam una Sekta ngapi?
  • Sunni, the largest branch, which follows the tradition of the majority of Muhammad's companions.
  • Shi'a, the second largest branch, which follows the lineage of Muhammad's cousin and son-in-law Ali.
  • Ibadi, a branch that emerged from an early schism over the legitimacy of the caliphs.
  • Ahmadiyya, a branch that believes in the messianic claims of Mirza Ghulam Ahmad, a 19th-century Indian reformer.
  • Sufism, a mystical branch that emphasizes the inner and spiritual aspects of Islam.
 
Wewe ulisemaje mwanzo ? Au unapoteza kumbukumbu ? Si ulisema kwamba hutaki mambo ya Mtume kasema na ukasema Qur'an imeelezea kila kitu au kama ulivyo sema ?
Tatizo we labda kichaa nimesema Qur'an imeletwa na Mtume Muhammad na Qur'an inakubali kitu alichosema Mtume tu.

We unataka kutuambia hata wewe ukija ukisema kasema Mtume hivi na hivi na wakati hajakisema tukabali sio, unadhani waislamu ni makondoo kama nyie mnakubali alicho sema Paulo.

Toa mfano wa hicho kinachosemwa na wengine.
Hapo ju nimeisha kujibu sisi sio wakristo tuamini fake story

Sasa ukitaka kurudi kwa Mtume unarudi wapi ? Hapo unaongelea Hadithi, au Kuna sehemu nyingine ya kurudi kwa Mtume nje na Hadithi sahihi za Mtume ? Elezea hili.
Qur'an imeisha sema ina kila kitu na alicho ongea Mtume tukiamini, kwani we unadhani hio ya kusema sijui bikra 72 imeongewa na Mtume au kuna watu wameleta uwongo tu, au sijui ujinga gani mnaosema ni hadithi kaongea zote hizo hadithi Mtume?

Kwanini kuna fake hadith na true hadith, NYIE hadithi mnazo tuletea hapo si hadith sahihi hata kama mnawaquote kina Bukhari, kwanza huyo Bukhari alimuona wapi Mtume 😄


Nakisoma nanina fahamu nacho andika wapi nilikataa alicho ongea Mtume? We bwege nini

Hadithi ya bikra 72 wapi kaiongelea Mtume, au wapi Mtume kasema alimuoa Aisha ana miaka 9 leteni dalili zenu

Eti wewe Muislam wewe ndio wale wanafiki afu unajidai Muislam, huna hata harufu ya Uislam, labda uwe mwenye jina tu na si ajabu hata umezaliwa kwenye bar afu unajidai Muislam
 
Inahitaji akili kidogo tu kuelewa hiyo hadithi ya (sahih bukhari 4950) mbona ipo wazi ?? Inajulikana bila kificho kwamba shangazi na mjomba wa mtume muhammad (swalallah alayh wasalam) walibaki kwenye kuabudu masanamu na walikufa katika hali hiyo .

Mtume muhammad (swalallah alayh wasalam) alikuwa ni binadamu kama mimi na wewe na aliumwa kama mimi na wewe na aliumia pia kama mimi na wewe ,sasa tukirudi kwenye kauli ya shangazi yake ni kwamba alipoona mtume wa Allah ameumwa kwa siku tatu aliamini kwamba Allah (the almighty) ambaye wao walimuita shetani kama kumdhihaki mtume , amemuacha mja wake na hana nguvu ya kumponya .

Ndipo Allah (the almighty ) alipoteremsha wahyi wa sura hiyo ya 93:1-3 surat dhuha ili kumuondolea shaka mjumbe wake na kumtia matumaini ya wakati ujao na uliopo soma aya ya 4 ya surah hiyo hiyo ya 93 .

Na jibu la Allah kwa shangazi na mjomba wake tunalipata kwenye surah ya 111 surat masad imeelezea kwa uwazi kabisa nini kitawapata abu lahab na mkewe .

Ninachokiona hapa ni kwamba

1. Huna elimu kuhusu dini ya uislamu kabisa
2. Kukosa kwako elimu juu ya uislamu kumekupelekea kupindisha aya na hadith kitu ambacho kinapelekea kwa waislamu wasio na elimu ya dini hata kidogo kubaki na sintofahamu.

KWANZA JUA KUWA HUYO MFALME WA SAUDI ARABIA (muhammad bin salman) ameshawahi kuwafunga wana wa chuoni wengi sana kwa sbabu tu ya kumkosoa katika maamuzi yake ya kutaka kutengeneza CLUBS (kidini ni haifai na haram) sasa sishangai kwa hayo aliyoyasema na hata siku moja hawezi kufuatwa kama mfano mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…