Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜… Qur'an imechakachua story ya kwenye Bible,Isaka kachomolewa mkamuweka Ismail. Shame on you☺️
 
Ilikuwaje mpaka Mohammad alishukiwa na shetani na kupewa wazimu na Wayahudi kumuita kichaa (mad man)? Tuanzie hapa then tutakwenda step by step tukikufundisha upate kujuwa ukweli kuwa Uislam si dini ya ukweli
 
Mkuu πŸ‘ Hawa nikuendelea tuu kuwapa vidonge vyao hata kama watataka kujilipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…