Ninauhakika kabisa kuwa!
Elimu zetu za Dini, iwapo zingeliruhusu challenges kutoka kila pahala, hata wenye dini zao wakawa wahusika wa mijadara huru, na wakaondoa jaziba zisizosaidia ili kuruhusu ubongo wa kati ushike ukweli wake!
Kuna Dini zingesambaratika, na ambao wangeendelea kubakia huko, Dunia ingeamua washughurikiwe kivyovyote kwa sababu ndio wangeilinda dini hiyo kwa ugaidi wa hali ya juu sana kwa kukosa msingi wa kiutu na kiungu!
Kwa hiyo wanaofuata hadithi wanakosea ?Khalifa ummar (ra),ambaye aliishi na mtume saw,alipiga marufuku Hadith,wamekuwepo watu wa kupinga Hadith tangu mwanzo,Hadith ni uzushi....lakini Muhammad bin Salman ana matamanio yake pia ya kidunia
Kuna hadithi zimetungwa na wahuni hazipo yaani😅😅.Hapo baada ya kufa mtume kuna watu walianza kuleta masimulizi kama ndoto zao na fikra ....Ndip maana kuzijua hadithi fake ni kama inapingana na Qur an yaani inasema jambo fulani ila kweny Qur an halipo ni ka uzushi .Kwa hiyo wanaofuata hadithi wanakosea ?
Sheikh! Unachoshangaa ni nini? 12 elimu unabidi uwe nazo kwenye Uislam. Usipokuwa nazo utaleta matatizo kwenye jamii. Na mwisho wa siku utapotea na kuendelea kuwa mbishi na kuendelea kutafuta ushindani.Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
NdiyoKwa hiyo wanaofuata hadithi wanakosea ?
Hivi unajua kuwa Uislam ndio hauna heshima wala staha na dini zingine! na koran na hadithi zimeandika ... Mtume wa waislam anakuchukia hadi milele labda ubadilishe ufe au ulipe kodi.. amewaita wasio Waislam Kufar, Donkey nguruwe na hamstahili kuishi... sema wakrito ndio tunawapenda maadui wetu.. Allah kuna aya anasema yeye ndio anapandikiza chuki kati ya wakristo na wakrito na wayahudi na wayahudituheshimu imani za watu wengine. Mijadala ifanyike kwa staha na sio kudhalilishana hakuna aliye bora kuliko mwingine.
Narudi tena palepale! 12 elimu ili uuelewe uislamu.Cha Ajabu, pale Macca wanapohiji pana NYUMBA ya ALLAH walipo weka jiwe la Kaaba, na pana NYUMBA ya SHETANI ambayo huitupia mawe. Hawajiulizi tu kuwa Inawezekanaje Mahasimu wawili wakae eneo Moja???
Sasa hivi SIRI ZINAZIDI KUFICHUKA KUWA KUMBE SHETANI NDIYO HUYO HUYO ALLAH (Sahih Al-Bukhari 4950)
Kwenye Biblia Mungu alimtupilia mbali Shetani na kumzuia asiingie tena mbinguni ( Ufunuo 12:9-11)
Anachokuambia ni ukweli mtupu Allah Mwenyewe anasema yeye ndio best of Deceiver.. yaani amemzidi ShetaniUkileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...
Mimi muislamu naapa mbele ya Mungu ukileta hilo andiko ,halafu niambie dini yako nikuonyeshe mimi.
imagine 🤣Unaambiwa peponi kunanuka ngono mabikra 72 kila mmoja kama ukumbi wa porno [emoji23] hadithi njoo utamu korea
😅😅Sasa soma nilichoandika kwamba leta hilo andiko na ahadi ipo hapo juu.Anachokuambia ni ukweli mtupu Allah Mwenyewe anasema yeye ndio best of Deceiver.. yaani amemzidi Shetani
Sasa ndugu mtanzania, neno la lugha nyengine wewe linakutia ukakasi. Ukiulizwa nini maana yake utaweza kuielezea?Hivi unajua kuwa Uislam ndio hauna heshima wala staha na dini zingine! na koran na hadithi zimeandika ... Mtume wa waislam anakuchukia hadi milele labda ubadilishe ufe au ulipe kodi.. amewaita wasio Waislam Kufar, Donkey nguruwe na hamstahili kuishi... sema wakrito ndio tunawapenda maadui wetu.. Allah kuna aya anasema yeye ndio anapandikiza chuki kati ya wakristo na wakrito na wayahudi na wayahudi
Umeona sasa elimu yako ni ndogo ,wakristo mngekuwa mnapendana tu wenyewe kwa wenyewe msingkuwa mnasali makanisa tofauti😅😅, msingekuwa mnakataa kuzika wenzenu kisa hajahudhuria kanisani ,msinge watenga wazinifu ilihali mnabariki ndoa zao kwamba mnahalalisha uzinifu.Hivi unajua kuwa Uislam ndio hauna heshima wala staha na dini zingine! na koran na hadithi zimeandika ... Mtume wa waislam anakuchukia hadi milele labda ubadilishe ufe au ulipe kodi.. amewaita wasio Waislam Kufar, Donkey nguruwe na hamstahili kuishi... sema wakrito ndio tunawapenda maadui wetu.. Allah kuna aya anasema yeye ndio anapandikiza chuki kati ya wakristo na wakrito na wayahudi na wayahudi
Gaidi wa mwanzo alikuwa Roman Empire walio msulubu huyo Yesu wako.Apige marufuku na uislamu kabisa maana unalea ugaidi
Na gaidi wa nne na tano ni Allah na mtume wakeGaidi wa mwanzo alikuwa Roman Empire walio msulubu huyo Yesu wako.
Gaidi wa pili Crusader walio tumia upanga kwa kutumia kutangaza dini yao.
Gaidi wa tatu wakoloni walio leta utumwa na kutawala duniani kwa maslahi binafsi ila wakajifanya watangaza dini.
Hakika Allah ni mwingi wa neema na mwenye kurehemu na Mtume wake ni kipenzi wa walimwengu.Na gaidi wa nne na tano ni Allah na mtume wake
Bukhari hakuwa mwarabu,ni mtu wa Kazakhstan ya Leo na Wala Hadith zinazoitwa za mtume hakuzikusanya saudia alikoishi mtume saw,na bukhari kafanya hiyo kazi zaidi ya miaka 200 baada ya kifo Cha mtume,hapa huna ujualo,mengine yaache yakupiteNIWAACHIE WARAABU HII LIGI..
ILA HILI LA SAHIH AL BIKHAR 4950
NA HADITH IDADI 16,245 YA MU"WAIYA IBN ABU SUFYAN ....
SIONI AJABU WANAZUONI KUZIKATAA HIZI SIMULIZI ILI KUFICHA UKWELI FLANI WA TAMADUNI ZA KIARABU
Allah ndiye shetan mwenyewe!Sasa ndugu mtanzania, neno la lugha nyengine wewe linakutia ukakasi. Ukiulizwa nini maana yake utaweza kuielezea?
Maana ya kaafir ni kuficha. Anayeficha haki ya Mungu isiwafikie watu kwa namna yoyote huyo anaitwa Kaafir.
Na hata dini ya Uislam inamwambia muislam auchukie ukafir. Kwa sababu ukafir ni kitendo. Asipokuwa makini hata naye anaweza akatumbukia humo. Ila muislam hajaambiwa amchukie kafir. Mimi nikikuchukia wewe sipati thawabu ya aina yoyote. Sasa vipi nifanye kitu kidichokuwa na maslahi nami?
Kwa hiyo hata ukiona mahali kwenye uislam imeandikwa; nimeamrishwa nipambane na ukafir kwa maana ni kitendo cha ukafir. Na wala si aliye kafir.
Na swala la kutozwa kodi kwani ni geni? Mbona waislam wakienda nchi za watu wanalipa kodi? Nayo hii tuisemaje?
Au kuwa na haki maalumu ni jinai? Ufalme wa British haulipi kodi. Halikadhalika kwa utawala wa kiislamu mwislamu halipi kodi. Ila usiyekuwa muislam unatakiwa ulipe kodi ni kama kwa nchi ya Uingereza wewe raia wa kawaida lipa kodi ila ufalme haiwahusu.
Kwa sababu ufalme kwa sera zake ndiyo umeilinda nchi na raia. Na kwa Uislam hivyo hivyo! Maadamu upo kwenye nchi yenye sheria za uislam, sheria hizo zinalinda mipaka yako ya nchi, na usalama wako. Hivyo, kwa jitihada za sheria hizo lipia kodi.
Tatizo liko wapi?
Na Allah akupandikizie chuki wewe ili yeye anufaike na nini ndugu mtanzania? Mwenendo wake Allah upo wazi: utakavyojielekeza naye Allah ndivyo atakavyokuelekezea huko huko! Mabadiliko yoyote yanaanza na wewe! Allah anasema hambadilishi mtu mpaka mtu atakapoamua kabadilika mwenyewe.
Hivyo ukiwa na chuki, unataka Allah akubariki nini wakati mwenyewe kwa hiari yako umechagua maisha ya chuki?
Na nikupe faida vilevile: Allah anajiweka kwenye dhana ya mja wake kwa jinsi mja anavyomdhahania. Ukimdhahania ni hana issue...sawa! Naye kwako atajiweka hana issue!