Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi.
Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki?
Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo gharama analipa nani?