Naomba ufafanuzi, unapomuambia muomba ajira akahakiki vyeti kwa mwanasheria maana yake hizo taasisi haziaminiki?

Muda mwingine naonaga ni siasa tu, mfano madogo wa six mtu akihakiki mwaka huu kama hakwenda chuo mwakani inatakiwa ahakiki upya, what's the point here?
Wanahakiki upya kwasababu wakishagongewa muhuri kwenye ile copy,wanaipeleka ile ile badala ya kupeleka copy ya ile true copy yenye muhuri..
ukifanya Ivo kila utakachofanya lazma utahakiki Mara kwa Mara sijui umenielewa.😆😆
 
Sawa! Huyo mwanasheria ana nyenzo gani kuthibitisha uhalali wa cheti?...
Mwanasheria unamuonyesha hard copy then yeye ana kupigia mhuri...hii itakusaidia kwa hatua za awali tu.
Ikitokea umefuzu, taratibu za ndani za kujiridhisha kwa mtoa cheti zinafanyika.
Kabla ya ajira wakiridhika umefoji wanakushtaki...haya mambo yapo sana.
 
Sasa hizo taratibu za ndani ndizo zinapaswa kuanza, sio kulipishana hela kwa mwanasheria...Kitaani kugumu ndugu zangu.
 
Hii huwa ni kichaka Cha wanasheria kula elfutani Hadi elfukumi.wenye uwezo wa kuhakiki cheti chako ni halali au siyo halali ni baraza la mtihani au chuo husika ulichosoma na siyo huo uhuni.
 
Ukichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.

ila uhakiki ni Kama saini yako kuthibitisha Kama Ivo vyeti ni vya kwako kweli, ni vile watu huchukulia simple tu ila kuna sehemu kabla ya kuhakiki wanathibitisha Hadi sura yako na ya kwenye passport,kumbuka Kuna vyeti feki na pia Kuna watu wanaoiba vyeti na kuvitumia..kwaio ni muhimu
huyo mwanasheria kawekewa mazingira gan ya kujua kuwa hiki cheti ni cha kulwa na sio Dotto ambao wameishi pamoja na kujuana hadi namna ya kusaini na hata muonekano ni mmoja , kwann wasiwatume watu kuhakiki kwenye taasisi husika walipohitimu elimu zao ?
 
hujajibu swali la jamaa , taja nyenzo za kujua hii ni fake au OG?
Mwanasheria unamuonyesha hard copy then yeye ana kupigia mhuri...hii itakusaidia kwa hatua za awali tu.
Ikitokea umefuzu, taratibu za ndani za kujiridhisha kwa mtoa cheti zinafanyika.
Kabla ya ajira wakiridhika umefoji wanakushtaki...haya mambo yapo sana.
 
Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi.

Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki?

Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo gharama analipa nani?
Unavifahamu vyeti feki?
 
Ukichukulia juujuu bila kufikiria kwa umakini utaona ni usumbufu mkuu.

ila uhakiki ni Kama saini yako kuthibitisha Kama Ivo vyeti ni vya kwako kweli, ni vile watu huchukulia simple tu ila kuna sehemu kabla ya kuhakiki wanathibitisha Hadi sura yako na ya kwenye passport,kumbuka Kuna vyeti feki na pia Kuna watu wanaoiba vyeti na kuvitumia..kwaio ni muhimu
Kwa mwaka 2024, Teknolojia imekuwa, hii hoja ni dhaifu. Namba ya NIDA inatakiwa kubeba taarifa zote za muomba ajira.
 
Wanahakiki upya kwasababu wakishagongewa muhuri kwenye ile copy,wanaipeleka ile ile badala ya kupeleka copy ya ile true copy yenye muhuri..
ukifanya Ivo kila utakachofanya lazma utahakiki Mara kwa Mara sijui umenielewa.😆😆
Copy huwa ipo muda wote online kwenye Rita account just kuingia na kudownload muda wowote itakayohitajika tena. Labda kama sijakuelewa vizuri
 
Mwanasheria unamuonyesha hard copy then yeye ana kupigia mhuri...hii itakusaidia kwa hatua za awali tu.
Ikitokea umefuzu, taratibu za ndani za kujiridhisha kwa mtoa cheti zinafanyika.
Kabla ya ajira wakiridhika umefoji wanakushtaki...haya mambo yapo sana.
Cheti cha Chuo Mwanasheria wako anawezaje kujua hiki feki na hiki ni chenyewe kwa macho tu maana wanakua hawana mfumo wowote wa Chuo kuwa ataingia ili akione pale akugongee muhuri..
 
Hata kama ni kugawana riziki, basi tuishi humo. Mnajua ndugu zangu hivi vihela vidogo vidogo vya hapa na pale ndio vinafanya maisha yaende.
 
Back
Top Bottom